mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hasara ipi ningepata nisingekuwa Mtanzania?

    Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  3. JamiiForums Tanzania Adaui wa mwafrika na mtanzania ni wivu na roho mbaya.

    Hey
  4. R

    JamiiForums Tanzania HANDSHAKE Kati ya Raila na Ruto anasukumwa na nguvu ya umma, handshake ya CCM na CDM inasukumwa na ulaghai wa dola au utashi wa kiongoz aliyepo juu

    Watanzania wengi wanafuatilia siasa za Kenya kuliko siasa za Tanzania. Kenya wanao Uhuru wa kufanya siasa na uchakachuaji WA matokeo hakuna kama ilivyo Tanzania. Tanzania watumishi WA umma wanafundishwa kuheshimu chama tawala wakati Kenya watu wa umma wanafundishwa na katiba kujitenga na siasa...
  5. JamiiForums Tanzania Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

    Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?... Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaojua Dkt. William Mtanzania wa USA. Je, Profile picha ni yake?

    Kuna shida kidogo nimeigunduwa hii leo, kitaaluma hakuna daktari mbobezi wa mgonjwa yote, Sasa napata mashaka juu ya huyu Dr. William. Kwanza nilimtambuwa kama Medical doctor, lakini siku zinavyokwenda anazidi kuvaa uhusika mbalimbali kwamba yeye ni Sangoma, yeye ni Astrologist na blah blah...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba" Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu. Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyewahi kuwa Jambazi sugu Kenya atoa ushahidi na kusimulia alivyofanya jambazi ikiwemo kuvaa sare za polisi, Kayachoka maisha ya uraiani?

    Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi. anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted". chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  12. JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
  13. JamiiForums Tanzania Mwili wa mtanzania mwenzetu Nemes Tarimo hatimaye waletwa Tanzania

  14. JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

    Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia. Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake? Wako wapi wanasheria wetu? Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema Nemes Tarimo alihukumiwa miaka 7 jela, akafariki akiwa vitani

    Waziri wa Mambo ya Nje, Stergomena Tax amesema Mtanzania aliyefariki Dunia Nchini Urusi, Nemes Tarimo alikuwepo nchini humo kwa ajili ya masomo na alijiunga na Chuo cha Moscow Technology Pro mwaka 2020 kwa masomo ya Shahada ya Uzamili katika fani ya 'Business Informatics'. Waziri amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania aliyeuawa vitani Urusi; kifo cha kishujaa?

    Nemes Tarimo alienda Urusi kusoma mnamo mwaka 2020. Akiwa huko Urusi, mwezi Machi 2022 alikamatwa kwa uhalifu akahukumiwa miaka 7 jela. Warusi wakatoa ofa kwa wafungwa kwamba ukienda vitani, baada ya vita utapewa fedha nyingi na utapata uhuru. Nemes Tarimo akajiunga na kundi la Wagner Group...
  18. JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

    Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu. Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Mtanzania aliyefariki vitani Ukraine walala matanga siku 10 wakisubiri mwili

    Ndugu wa Tarimo Nemes Raymond Raia wa Tanzania aliyefariki kwenye uwanja wa vita katika mji wa Bakhmut nchini Ukraine akipigana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamedai hadi sasa wametumia siku 10 kuusubiri mwili wa ndugu yao kwa kulala matanga. Taarifa zinaeleza kuwa kifo cha Nemes aliyekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…