Hali sio shwari kwa wahamiaji nchini Afrika Kusini hasa wale wanaotoka mataifa ya Afrika. Maelfu ya wananchi kutoka Nigeria, Ghana, Malawi, Zimbabwe na Zambia na nyinginezo, wanatakiwa waondoke nchini humo kabla ya Juni 30, 2026.
Siku hiyo yamepangwa maandamano makubwa ya kuwafukuza wahamiaji...