mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huko mtandaoni Waislamu wamshukia sheikhe Pembe kwa kusema Amani ndio inaleta Haki

    Habari za jioni! Sheikhe Pembe alikuwa akitoa maoni yake kama watu wengine lakini akasahau cheo chake cha usheikhe na dini aliyomo ambayo ni uislamu inamtaka awe mwingi wa tahadhari anapozungumza mbele ya Umma kwani anaweza kuudhalilisha uislamu na waislamu wa Tanzania. Pembe alikuwa anajaribu...
  2. JamiiForums Tanzania Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Chawa wa CCM kaniomba msamaha kwa mambo anayopost Mtandaoni

    Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

    App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa Mtandaoni hayana ushahidi, wanatumia pages zangu kupata followers

    Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea? Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Wangapi Tarehe 29 October 2025, Tutaandamana Mtandaoni au Moyoni

    Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa. Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje. Tunaogopa kuumizw au kufa. Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ujuzi Wa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Nyingi Mtandaoni

    Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini... "Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills" ...Huu Ujuzi Huwa Napenda Kuuita Triplet PACKAGE Skills...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano mtandaoni yako tayari kwa 80%, ila kwa ground raia wanakimbiza mishe zao tu

    MangeKimambi hawajui watanzania vizuri ni kwamba anajisumbua tu. Watanzania hakuna hata mmoja atakae toka kuandamana. Maandamano yao yapo mitandaoni. Kila mmoja anamtegemea mwenzake atoke na mwenzake anamtegemea mwenzake mwingine atoke
  11. JamiiForums Tanzania NIDA wachague moja kati ya kuruhusu kuona namba mtandaoni (online) au waondoe kabisa huduma hiyo isiwepo kabisa

    Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA. Niliwahi kuandika humu...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtandaoni

    Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu. Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
  13. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona mtandaoni, nimeona sio mbaya nishare na nyie

    Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo. Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata. Mfundishe kuwa kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Nimenunua shati na suruali kutoka mtandaoni ila najuta

    Habari wadau. Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake. Sadly, leo nimevipokea maana alinitumia kwenye basi na havinitoshi kabisa. Shati ni dogo mno hasa mikono...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, wajua unaweza kumiliki AI yako mwenyewe kupitia kwenye website yako?

    Habari wakuu, Je wajua kuwa custom Artificial Intelligence (AI) inaweza kuwa msaada mkubwa kwenye biashara yako ya mtandaoni? unaweza kuitumia leo kuboresha website yako au blog yako. Kwa mfano: Chatbot: Unaweza kuweka chatbot kwenye website yako ili kujibu maswali ya wateja haraka bila...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?

    Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Nitajie hapa Free Site bora au Free Websites za Kupakuwa Nyimbo Mtandaoni / Mitandaoni

    Nina GB 100 na nataka zote nizitumie Kupakuwa tu Nyimbo za Kikongo na Hotuba za Werevu Nyerere, Mkapa na Magufuli.
  19. JamiiForums Tanzania Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika. Casino maarufu zaidi Tanzania 1. Aviator Hii inawachezaji kila kona ya nchi , kumbuka kila kmpuni...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unalinda akaunti zako mtandaoni kwa usalama wa kutosha?

    Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification). Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…