mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa faida ya tsh 100 mtu mwenye mtaji mdogo anapataje faida kwenye nafaka?

    Nafaka ni eneo Pana sana na limewapa mafanikio watu wengi sana (wenye mitaji mikubwa). Nimeona mijadala mtu anasema ana mtaji wa 3million afanyaje? Wadau wanatiririka auze nafaka, sasa kwa mtaji wa million 3 na ushindani uliopo chance ya huyu kijana kutoboa iko wapi? Let's say amepata eneo...
  3. JamiiForums Tanzania "Nilianza na mtaji wa laki 2 mwaka juzi, leo hii naendesha crown" acheni fix vijana😁

    Mna pajua mlipo toa pesa hadi kuendesha crown ndani ya miaka miwili baada ya kuanza na mtaji wa 200k 😁
  4. JamiiForums Tanzania Ugawaji na matumizi ya mtaji(capital) kwa watoto wako

    Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Business Partner Kwa Mtaji wa TSh 100M Tunaweza Pata faida ya TSh 300M hadi Tsh 350M kwa Mwezi.

    Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%. Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake. Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Mtaji pekee hautoshi kuendesha biashara ya vipodozi. Unahitaji kuyajua haya

    Biashara ya vipodozi inaweza kuwa na faida kubwa kwa sababu bidhaa za urembo hutumiwa kila siku na wanawake, wanaume, saluni pamoja na wataalamu wa makeup. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji maandalizi sahihi, bidhaa bora na uelewa mzuri wa wateja unaowalenga. 1. Tambua wateja unaowalenga...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

    Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana. Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
  9. JamiiForums Tanzania Njia ya kutengeneza milioni 100 bila mtaji... ila inataka moyo wa chuma

    Tuanzie na mpango kwanza halafu tunaingia kwenye utekelezaji Lengo kukutana na watu 1,0000 Tanzania bara yote wilaya 184 na Kila mtu akupe TSh 10,000.Jumla itakuwa ni TSh 100,000,000. Sasa Tanzania Bara ina wilaya takribani 184. Ukigawanya watu 10,000 kwa wilaya 184 unapata wastani wa watu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tishio la "Maandamano" linavyogeuka mtaji kwa Askari nchini Tanzania

    Toka oktoba 29, 2025 linapokuja suala la watu kuandamana, waandamanaji wamekuwa ni Jeshi la Polisi na Majeshi mengine katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mijini. Hali ya askari kurandaranda mtaani wakiwa na silaha nzito badala ya raia walioshikilia mabango imekuwa ikiwatisha wananchi hali...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini, nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena. Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida. Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Biashara yako inahitaji mtaji wa kukua? SmartBusiness imekurahisishia!

    Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉 Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu. 💼 Unaweza kutumia mkopo kwa: ✅ Kuongeza bidhaa dukani ✅ Kuongeza mtaji wa biashara ✅ Kuboresha...
  13. JamiiForums Tanzania Kama una mtaji/pesa kidogo acha kukaa nyumbani/gheto, acha kutosheka/kusubiri Ajira

    Habari wana JF. Kwa wale wote wanao hitaji kufanya biashara/kuwekeza Kariakoo. Naomba msiogope hivi sasa ndiyo wakati mzuri sana wa kuwekeza/kufanya Biashara Kariakoo Majengo mapya yanajegwa kila siku. Na bei za fremu ni nzuri sana(affordable hata kwa mtu mwenye mtaji mdogo). Zipo fremu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

    Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

    Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
  16. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

    Habari zenu wana JF Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu. Nawasilisha kwenu wadau
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  19. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop kwa lengo la kujipatia mtaji

    Habari zenu Natarajia kupata mkopo wa 2.5m so nasubiria , nimesimama kuuza laptop kwa kutegemea huo mkopo, M/Mungu awaongoze wakopeshaji wanipe pesa hiyo kwa mkopo AMEEEN 🙏🏾 Asanteni sana
  20. JamiiForums Tanzania Kama una mtaji usiweke kwenye biashara ya Frame/maduka, fanya hivi

    Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike, Jikite kwenye ujuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…