msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  2. JamiiForums Tanzania Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

    Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana. Lawama zingine nazielekeza...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Tulia anahangaika na mambo yasiyo na tija anaacha mambo ya Msingi

    Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka anakuwa Mbunge hakuna mambo ya maendeleo ya maana anayoyafanya. unamwona anaangaika na petty issues za...
  4. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
  5. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

    Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance. Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani. Siku za michezo ni michezo kwelikweli Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa Na bado tulifaulu vizuri msingi...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

    Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo. Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya...
  8. JamiiForums Tanzania Belle 9: Utundu wangu nilipokuwa nasoma Shule ya Msingi

    Kituko ninachokikumba ni cha rafiki yangu wa shule ya msingi Theresia, yeye alikuwa anaishi karibu na shule lakini alichokuwa anakifanya anaamka mapema anakuja nyumbani kunifuata kisha tunaenda tena shule na adhabu ya kuchelewa tunapewa pamoja,"- Belle 9 "Halafu mimi nilikuwa kichwa kuliko...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe?

    Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe? Eti wakuu inawezekana kufanya hivyo?
  10. JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza

    Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza. Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje? Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Shule ya za Sekondari Benjamin, Msingi Uhuru na Kiwanda cha Bia zihamishwe Kariakoo waachiwe wamachinga hilo eneo

    Kuanzia roundabout ya Uhuru hizo shule zote napendekaza ziondolewe zitafutiwe eneo lingine lipishe wamachinga walioratibiwa. Kiwanda cha bia hakina sababu ya kukaa katikati ya jiji, kiamishwe kipishe wafanyabiashara. Maeneo hayo yajengwe majengo simple ya kisasa yenye vizimba vya kimkakati...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Cheo cha Makamu wa Rais hakina tija, tukiondoe, tubakishe cha Waziri Mkuu

    Nchi yetu ni nchi masikini, kutokana na hali hiyo ni muhimu kila senti inayopatikana ikatumika vizuri. Leo hii nchi yetu ina viongozi wakubwa wafuatao 1. Rais 2. Makamu wa Rais 3. Waziri Mkuu 4. Rais wa Zanzibar 5. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 6. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar...
  14. JamiiForums Tanzania Sweden yamwaga mabilioni kusaidia elimu ya msingi

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa Sh196 bilioni kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EP4R II). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 5,2021 na kitengo cha mawasiliano cha Wizara ya Fedha na Mipango, Maktaba huo...
  15. JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Vijana gombeeni nafasi za CCM mwakani

    Mbunge wa Jimbo la Simanjiro, Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amewataka vijana wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za chama hicho mwaka 2022. Uchaguzi mkuu wa CCM kugombea nafasi kuanzia ngazi ya tawi, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa unatarajia kufanyika mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Haki za Msingi za Wanawake na Haki zisizo za Wanawake

    HAKI ZA MSINGI ZA MWANAMKE NA HAKI ZISIZO ZA WANAWAKE Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa mujibu wa mtazamo wangu na ambao ninajiamini; ni hakika, Hapa sitauma Una maneno, sitaficha chochote, nitataja Kwa haki kabisa. Zifuatazo ndizo Haki za msingi za wanawake; 1. Haki ya Kuishi Kama binadamu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza, Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi

    Nawasalimia kwa jina la JMT, Hiki ndicho alichokiandika Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ukurasa wake wa tweeter,
  18. JamiiForums Tanzania Manyara: Maji yarejeshwa katika shule ya msingi Endiamtu baada ya kuripotiwa kukosekana kwa miaka mitano

    Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo. WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Vyakula bora vya msingi kwa afya ya jamii

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  20. JamiiForums Tanzania Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

    Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…