msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  2. J

    Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  3. K

    CCM hatupaswi kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba

    Serikali ya CCM inawekwa na wananchi baada ya kuridhia CCM iwe chama tawala. Hatupaswi, wanachama wa CCM, kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba. Wakili Msomi na Jasiri, Boniface Anyisile Mwabukusi, Rais wa TLS, nakumbuka tarehe 05/10/2024 alisema: "Lazima tuwe na sehemu tunapokutana...
  4. Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  5. Msingi wa Utajiri kwa Karne ya 21 ni Huu

    Habari za wakti huu, Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama. Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata hivyo nimekuwa nikiendelee kushirikiana na wadau katika kutafuta suluhu na fursa za kukabiliana na...
  6. Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  7. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  8. Hongera Mwabukusi, John Mrema na John Heche kwa kutojihusisha na maandamano yasiyokuwa na msingi, na yenye nia ovu

    Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi. Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa...
  9. G

    Kina mama wengi chanzo cha watoto kutowathamini kina baba, Hawatimizi jukumu lao la msingi kuwakumbusha watoto baba ni kiongozi na nahodha wa family

    Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini wanasahau kwa maksudi kabisa jukumu lao muhimu la kuwakumbusha watoto "Muwe karibu yangu na mdeke mnavyotaka...
  10. Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  11. Chama chetu vyama vyetu vya msingi na lazima ni Tanzania, Utu na Ubinadamu, CCM haiwakilishi Tanzania kwa ujumla wake , CCM ni mchepuo hiari kisiasa

    Naomba kwa yeyote yule mwenye utashi a akili timamu afahamu hilo, na umuhimu wa ufahamu huu sio hiari bali ni sharti na wajibu kwa kila awaye miongoni mwetu. Utanzania hauna siasa, dini, ukabila, elimu, ukanda. Siku ya mwisho kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe. Njia ile ni nyembamba...
  12. Nini msingi wa sisi kupigania uhuru?

    Nini msingi wa sisi kupigania uhuru ? Kama uhuru wenyewe haupo ? Bora wale wazee wa kiislam wangeendelea kunywa tu kahawa na kuachana na yule kijana wa Butiama. Ingeelewaka moja kuwa tupo kwenye ukoloni wa mzungu mpaka leo. Ilikuwa haina haja yule kijana wa Butiama kupokelewa kwa mikono...
  13. Dudu baya kauliza maswali ya msingi kuhusu Airport ya Dar es Salaam(JKNIA)

    Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi? Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu...
  14. HAKUNA SABABU ZA MSINGI ZA WATOTO KUSOMA ENGLISH MEDIUM

    Samahani kwa kusema hili, ukweli uliowazi ni hakuna sababu za msingi za watoto kusoma hizi shule za English medium. Naongea kwa sababu hili suala nalifahamu kwa asilimia kubwa. Tena kwa wazazi wanao dunduliza na kujibana samahani kwa kuwaita wapumbavu ambao ujinga, mihemko na maisha ya kuigana...
  15. INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  16. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza

    Miguu 20*20 bei million tano Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa Piga: 0789 149 581
  17. Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  18. Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  19. Kulikuwa na sababu ya msingi kumtimua Nape?

    Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini? Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na sanduku la kura, na huo ndio ukweli kwa nini Samia akamtimua kwa kusema ukweli?
  20. Biashara ya Makeup inahitaji vitu gani vya Msingi?

    Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa. 1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu. 2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu? Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…