msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Namna ya kunasa Vitoto vya kishua msimu huu wa Sikukuu

    NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU Anaandika, Robert Heriel Kheri ya Christmas Wakuu! Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu. Wale wazee wenzangu wa pisikali zamoto tujadili kidogo hapa namna ya kuopoa vile vitoto vyakishua. Tabia Mbaya! Tabia...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu msimu wa kilimo umeshaanza. Twendeni shamba ili msimu wa mavuno tusiilaumu Serikali

    Mara oooh mazao yanaenda nje serikali Ipo tuu. Sasa wakuu twendeni tukalime ili tuwe pamoja na ndugu zetu wakulima watapoanza kuuza mazao Yao nje siye tujilie tu. Tuacheni mazoea tukalime. Wanangu twendeni mvomero, Usangu, Kahama na maeneo mengine tukalime mpunga tujipatie chakula Cha Bure.
  3. JamiiForums Tanzania Biashara msimu wa sikukuu. Zipi biashara za kufanya

    Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

    Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
  5. JamiiForums Tanzania Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda atakuwa mbuzi wa kafara

    Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa. Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu. Juma Mgunda...
  8. JamiiForums Tanzania Record za Mayele msimu huu zinatisha

    Mayele mpaka sasa kacheza mechi 18 kwenye mashindano yote msimu huu. Amefunga mabao 17. Ana 'assist' 4. Huyu mwamba mwaka huu anaweza kuweka rekodi mpya ya upachikaji wa mabao. Maana ligi haijafika hata katikati, FA haijaanza, Mapinduzi Cup bado haijaanza, Shirikisho ana michezo 6, huyu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

    Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
  10. JamiiForums Tanzania Takwimu za Aziz Ki msimu huu

    Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu. Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

    LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA. Anaandika, Robert Heriel Msomi, 😊. Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
  12. JamiiForums Tanzania Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

    Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu. Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
  13. JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  14. JamiiForums Tanzania Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  15. JamiiForums Tanzania Hii hapa top four ya NBC premier league msimu wa 2021/2022

    Bila kupepesa macho hii ndio yop four ya nbc premier league ikatavyo kuwa. Simba Azam Singida Geita
  16. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za yanga za msimu unaokuja 2022/2023

    Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi zao mpya siku za usonii. Vipi wadau wa nguvu moja Msimbazi
  17. JamiiForums Tanzania Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka! Nyie Sport Pesa mnaifanya Yanga iende kuchukua vikombe vyote msimu ujao

    Hii sasa sifa, mkataba wa bilion nne na ushee kwa mwaka!! Nyie Sport Pesa mnawafanya Yanga waende kuchukua vikombe vyote msimu ujao. Ina maana ni mara tatu ya mkataba walio ingia Simba. Halafu hapo kuna yale mafungu ya bilioni 40 kutoka Azam sijui ni shilingi ngapi kwa mwaka nimesahau Kama...
  18. JamiiForums Tanzania Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  19. JamiiForums Tanzania Simba,Yanga Na Azam, Kuukosa Ubingwa Msimu Ujao: Sakho Na Mayele Kuukosa Msimu Ujao

    Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu. hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa ikiwa kabakia mwenyewe mhusika kuangusha wino, kwa dau lililopo hata mchezaji kubakia Yanga itakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu Yanga sc Nabi kutimuliwa raundi ya kwanza ya msimu

    Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league. Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…