msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  2. Intelijensia ya CHADEMA ilishindwaje kubaini mipango ya Msigwa kabla hajatoka?

    Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa uongozi wa Magufuli, bila shaka, kwa hulka yake ya tamaa ya cheo, alishindwa kuhimili kuishi bila...
  3. R

    PreGE2025 Peter Msigwa, ona aibu kidogo angalau, umemsakama Mbowe lakini hajakujibu

    Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth! Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue! Heshima uliyokuwa nayo si ya kubeba masananu ya watu! Tena watu uliokuwa ukiwananga miaka zaidi ya 10 starting with her...
  4. Mch Msigwa hakuwa kubeba Bible katika maisha yake yote ya Uchungaji.

    Heshima ssna wanajamvi. Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul. Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na kuwaaminisha waumini wakikifuata na kukitii kitabu hicho kitakatifu watakwenda Mbinguni. Mheshimiwa Abdul...
  5. L

    Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  6. Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

    Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa. Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm. Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo. Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
  7. Msigwa kama Manara tuu.. CD zao zimestuck penye scratch

    Kuna na Upendo Peneza pia Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka CCM Mapenzi ya kitu huja na kupoteana lakini sio mahaba.. Wapenzi waachanao na kurudiana kila...
  8. PreGE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  9. CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

    Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
  10. Peter Msigwa uwe unasema na yale ulotendewa na CCM

    Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no...
  11. Dudu Baya ampa za uso Msigwa

    Kama huna bando sio kosa langu, hebu sikiliza hapa Chini https://vm.tiktok.com/ZMrCXakBB/
  12. Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  13. Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  14. L

    Msigwa, Sasa ni muda wa kueleza mazuri ya CCM ukirejea yale uliyokuwa unasema ni mabaya

    Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa. Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM. 1. Kama rushwa haiko. 2. Maneno aliyosema Nape kama si...
  15. Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  16. PreGE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

    Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà. Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu...
  17. PreGE2025 Picha: Wameamua kumdhalilisha Peter Msigwa. Ukimtazama usoni amefadhaika sana

    Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni. Amepatwa na aibu na mfadhahiko mkubwa. Huyu Msigwa ambaye alikuwa kama mwanafalsafa flani. Sasa...
  18. L

    PreGE2025 Mbowe na Lissu msimjibu Msigwa, tutamalizana naye wenyewe

    Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana. Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana, mmenyang'anywa hata mali zenu, mmeshikiwa mtutu wa bunduki. mmewekwa mahabusu kwa manufaa ya akina...
  19. CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?

    Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki. Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM...
  20. H

    Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

    WanaJF! Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na utalii, sekta hii kama ikiweza kusimamiwa vizuri, sio tu itaipatia serikali mapato yake, bali itaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…