msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Twende na Paka kauzu, unaukumbuka msemo gani unaoendana na huyu paka?

    Weka kauli yoyote ambayo uliwahi kuiona inayoendana na huyu paka kauzu
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

    THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate) Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu msemo wa 'Sisi Waafrika' unatudumaza, achaneni nao

    Tumesikia au tunawasikia sana viongozi wetu wakijinasibu kwa Uafrika, aidha utawasikia wakisema sisi Waafrika, yaani wanaona shida kubwa sana kusema sisi Watanzania au kwa Utanzania wetu bora hata Wa upande wa pili utawasikia wakisema sisi WaZanzibari au Uzanzibari wetu. Viongozi hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Msemo gani wa kiswahili unakukera?

    Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2] Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…