Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari.
Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, jijini Dar es Salaam...