Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao.
Katika familia hiyo kuna Binti wawili, tumekaa na hii familia kama miaka minne na nikiwa naogopa...