msaada wa kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Jumanne Sagini: Kampeni ya msaada wa Kisheria (Samia Legal Aid) itafikia mikoa yote mpaka Mei 2025

    Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria lakini wasio na uwezo wa kugharamia huduma hizo. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Haya maandamano ya kuzindua Samia Legal Aid Campaign mkoani Mbeya yalikuwa na umuhimu gani?

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika mkoa huo. Kampeni hiyo inaratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.
  3. B

    JamiiForums Tanzania RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria au mawazo dhidi ya mwenye nyumba wangu

    Habari za muda huu? Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu kodi ya chumba ilikuwa tsh 60,000. Sasa baada ya wiki moja alikuja mtu wa makamo na kujitambulisha...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa wilaya ya Tanganyika waomba Kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia iendelee

    Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea uelewa wa kufahamu mambo mbalimbali ikiwemo kutatua migogoro. Katika vijiji hivyo migogoro mingi...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba: Samia Legal Aid ni maalum kwa ajili ya wananchi wanyonge

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, hasa kwa wananchi wanyonge. Maswi, alikuwa akizungumza Januari 29, 2025 katika mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Maelefu wajitokeza kupata elimu na msaada wa kisheria uzinduzi MSLAC mkoa wa Kilimanjaro

    Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea kitaifa. Hapa ni tathmini ya maendeleo ya kampeni hii tangu kuanzishwa kwake: 1. Ufanisi wa Kampeni...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Programu ya Mama Samia Legal Aid yatua kwenye makanisa ya Mtwara

    Ikiwa ni Jumapili, Januari 26, 2025 ni siku ya nne pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 mkoani Mtwara, kampeni hiyo imeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya wananchi ili kutoa huduma na elimu ya masuala mbalimbali yanayohitaji...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Ras Geita awakumbusha wataalam malengo ya kampeni ya msaada wa kisheria

    Na Mwandishi Wetu Gombati amesema hayo jana Januari 24, 2025 Mkoani hapo alipokuwa akifungua mafunzo ya wataalam hao kunolewa kuelekea kampeni hiyo itakayotekelezwa katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita Uzinduzi wa Kampeni hiyo unatarajiwa kufanyika Januari 26, 2025 katika Uwanja wa CCM...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)

    Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara. Kampeni hii inalenga kuwasaidia wananchi kupata uelewa wa masuala mbalimbali ya kisheria, kuongeza haki...
  12. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  13. bint white

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimezindua Ripoti ya Msaada wa Kisheria-2023

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Uzinduzi wa Ripoti hiyo itaambatana na mjadala, ambapo kati ya wazungumzaji ni Dr. Helen Kijo-Bisimba, Dr.Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria namna ya kum serve notice of intention to sue Attorney General

    Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ni kielelezo kingine cha ujinga Tanzania

    Huduma za msaada wa Kisheria za Mama Samia ni aina nyingine ya kielelezo cha jinsi taifa lilivyo Huwa nasema siku zote CCM hawako tiyali kuona vitu vifuatavyo vinatoweka katika hili taifa; 1. Kuisha au kupungua kwa umasikini. 2. Ujinga 3. Mifumo imara ya uwajibikaji katika nchi. 4. Mifumo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa kisheria Wakuu

    Habari wakuu naombeni msaada wenu Nilifukuzwa kazi nikapewa barua ya kufukuzwa na inaelekeza nitapewa madai yangu yote ndani ya siku kumi na nne (14)za kazi, ila Leo ni siku ya 16 sijalipwa chochote je naweza kuwashtaki waajili wangu.
Back
Top Bottom