mrisho mpoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  2. Yoda

    Hakuna mwingine zaidi ya Mrisho Mpoto katika shughuli za serikali?

    Huwa namuona huyu Mrisho Mpoto akiwa ndiye mtumbuizaji karibia katika shughuli zote muhimu za Serikali. Ni kwamba yeye ndiye anayejua sana au kuna uhaba mkubwa wa watumbuizaji wengine wanaofiti katika hizo shughuli za serikali?
  3. mdukuzi

    Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

    Sijui ni uchawa au kujitoa akili. Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya serikali badala ya kuimba yeye anahutubia kwa kutoa takwimu, hiyo sio sanaa, sanaa haina takwimu...
  4. Analogia Malenga

    Mrisho Mpoto anaweza kuwa hana copy ya album zake za mwanzo au hazisikilizi

    Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..." Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati. Sidhani kama anaweza kukaa...
  5. init

    Uchambuzi wa Shairi la Tausi kama ilivyo ghaniwa na Mbosso na Mrisho Mpoto

    Aawali ya yote ninapenda kuwashukuru kwa kubahatika kunusa uzi huu. Ifuatayo ni Tafakuri fupi ya uchambuzi Inayotokana na shairi la Tausi lililo ghaniwa na Mpoto akiwa na Mbosso. Tausi wewe Tausi wetu Karibu Tausi uipambe nyumba yetu Awali Mshairi ana mkaribisha Tausi, hivyo Tausi ni Mgeni...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Tausi wa Mrisho Mpoto ndio nani hapa nchini?

    Kwema Wakulungwa! Hii nchi mtu huwa mzalendo akiwa na njaa, fukara na apeche Alolo Ila akipata ulaji uzalendo huyeyuka Kama theluji. Hii imaanisha nini? Naomba kwa heshima na taadhima, Kwa wale wanafasihi Nguli waje waniambie Tausi wa Mrisho mpoto kwenye hii nchi ndio Nani? Alafu Mrisho...
  7. PendoLyimo

    Mrisho Mpoto balozi rasmi wa Shirika la Posta Tanzania

    Mstanii wa Mashairi Mrisho Mpoto (Mjomba) amesaini Mkataba wa makubaliano ya pamoja na Shirika la Posta Tanzania kuwa Balozi wa Shirika hilo. Shirika la Posta Tanzania limeingia Makubaliano na Msanii huyo ili kulitangaza Shirika pamoja shughuli zote za Shirika hilo ikiwemo Huduma Pamoja, Duka...
Back
Top Bottom