mrefu

Mrefu Farm is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Baada ya kufatilia kwa muda mrefu nimegundua Waandishi wa Habari wa Kitaifa na Kimataifa wanajisikia furaha wakimhoji/kuzungumza na Tundu Lissu

    Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas Lissu. Wanaonekana ni watu wenye furaha, wanajisikia huru na wacheshi wanapokuwa pamoja. Kwenye...
  2. Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

    Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka. Jamaa alikua anatunga...
  3. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  4. Utumbo mpana kuwa mrefu kupita kiasi (dolichocolon)

    Hello wanafamilia, Nimebainika kuwa na tatizo tajwa hapo juu. Hii ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ukavu wa choo, constipation. Katika medicine, tatizo linapokuwa sugu na hatarishi,dawa ni upasuaji unaohusisha kuukata/kuupunguza utumbo. Ninaomba uzoefu kwa mlioona ,kusikia au kupitia...
  5. Kumbe usiku ni mrefu hivi?

    Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama Niliteseka sana,nililia Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI...
  6. H

    Tatizo la mafua ya muda mrefu

    Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
  7. Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  8. Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  9. Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  10. Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

    William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20 Halima Mdee-Miaka 20 Vita Kawawa-Miaka 20 Pindi Chana-Miaka 20
  11. Truth : kwa mwenendo wa siasa za Tz naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu

    Ni dhahiri Tanzania hakuna upinzani wote wametiwa mfukoni. naiona ccm ikitawala kwa muda mrefu sana great than 150yrs. It's very painful. NB: mimi sio mwa CCM.
  12. KWELI Maziwa ya Mama Hayaharibiki wala Kuchacha yakiwa Kifuani

    Mwanamke asipo mnyonyesha mtoto kwa zaidi ya siku moja maziwa yake huchacha na kuharibika. Wanawake hushauriwa kumwachisha mtoto ziwa ili asidhurike kwa sababu maziwa hayo hukosa tena sifa ya kutumiwa na mtoto. Ukweli upoje?
  13. Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

    Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅 Yes! Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
  14. JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  15. M

    Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  16. Yanayotokea Chadema muda si mrefu yatatokea CCM.

    Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;- Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea Uchaguzi mkuu Kkuikabili hali hii,kumbuka TLS yuko Mwabukusi..... #Hapa ndipo refa huwa anaingia...
  17. G

    Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  18. Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  19. Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  20. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…