mradi

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huu Mradi wa Mama Uliishia Wapi?

    Mama alianza vizuri sana. Tukawa na matumaini makubwa. Jua la demokrasia likaanza kuchomoza. Sote tukadhani kuwa tumeanza safari upya tukiwa na injini iliyosukwa upya. Nini kilitokea mpaka mradi huu wa kusuka injini ya safari yetu upya ukafa? Kuna anayejua?
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaufuta mradi wa tanzania NCO development

    Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1 Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  4. JamiiForums Tanzania Misri meli zinajaa kwenye foleni kupakia Gesi, Msumbiji wanaanza mradi wa LNG, Tanzania wanasubiri nani anatoa kushwa kubwa wampe mradi

    Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo. Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi. Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
  5. JamiiForums Tanzania TBT: Dakika 20 za Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa mradi wa mwendokasi

    https://youtu.be/WbWMoTr_I-U?feature=shared
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yasitisha mradi wa Taifa gas

    Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa. Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa TADB yanufaisha Vijana Mwanza kwa fursa ya ufugaji wa kisasa wa samaki kwa vizimba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi zinatekeleza mradi wa Uvuvi unaohusisha miradi miwili yenye thamani ya TZS 25.1Bln ikihusisha mikopo ya boti za kisasa zenye thamani ya TZS 2.6 Bln na ufugaji samaki kwa njia ya vizimba vyenye thamani ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa majiko banifu watambulishwa Kigoma

    MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA 📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404 📍 KIGOMA Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  10. JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  11. JamiiForums Tanzania Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu. Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watanzania milioni 1.5 kunufaika na mradi wa misitu wenye thamani ya Euro milioni 20

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20. Mradi huo ambao wa miaka minne...
  16. JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni Puna kuanzia million 3 viwanja vina ukubwa wa SQM 400 -2000

    Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥 Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna ✅PUNA BEACH PLOT Mita 650 kutoka site mpaka beach 20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3 22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15 ✅PUNA...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele kigumu kama kumkagua mwekezaji wa mafuta na gesi kama amerudisha fedha alizowekeza katika mradi

    Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kunusuru huu mradi wa Magomeni Kota?

    Nimesikitishwa na hii habari ya gazeti la the citizen kuhusu maghorofa ya Magomeni Kota. Lawama wametupiwa zaidi wapangaji kwa kushindwa kutunza mazingira ya hilo eneo zikiwemo majengo. Pia wamekuwa wakikaidi kulipa gharama za usafi na zingine za kuhakikisha mradi unakuwa sawa. Wewe una maoni...
  19. JamiiForums Tanzania Mradi wa EACLC Ubungo kuleta ajira zaidi ya 65,000

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichoko Ubungo Dar es Salaam, ambacho kinatarajiwa kutoa zaidi ya ajira 15,000 za moja kwa moja, na zisizo rasmi takribani 5,000 Katika uzinduzi huo uliofanyika leo Rais Samia amesema: "Kituo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa zaidi ya Bilioni 15 Mradi wa Mwenga Hydro Ltd

    erikali ya Tanzania imetoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ilipotembelea na kukagua mradi wa kuzalisha umeme wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…