mradi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025. Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Mradi wowote ulioanzishwa chini PPP ya David Kafulila atufahamishe, mimi siujui hata mmoja, ni Mwingi wa maneno tu

    Partnership (PPP) in Tanzania is a collaboration between the public and private sectors to deliver public services or infrastructure. PPPs are a way to combine the public sector's oversight with the private sector's expertise. How do PPPs work in Tanzania? The private sector renovates...
  3. JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yajitoa Rasmi Kufadhili Mradi wa REGROW Kwa Madai ya Ukiukwaji wa Haki za Wananchi Wanaozunguka Hifadhi ya Ruaha

    Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
  5. JamiiForums Tanzania Bakhresa Apewe Mradi wa Mabasi ya mwendokasi

    Asee huu mradi apewe Bakhresa atatisha sana
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  8. JamiiForums Tanzania Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

    Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mkoa wa Songwe akagua kiwanda cha makaa ya mawe STAMICO na Mradi wa Barabara ya London - Kiwila

    Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya London-Kiwila yenye urefu wa kilomita 5, iliyopo katika Wilaya ya Ileje. Barabara hiyo ni kiungo...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja. Naomba kuuliza, ni...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa Starcity ni hatari kwa Wakazi wa Morogoro

    Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi kwani eneo hilo sasa ni tishio la usalama! Eneo limekua 1. Maficho ya Wezi, Eneo hili linatishia...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania hatujawahi kuwa na Marais au Mawaziri ambao kabla ya madaraka waliwahi kuendesha mradi wowote na wakafanikiwa

    Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa. Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu. Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
  13. JamiiForums Tanzania Zaidi ya TZS Bilioni 70 zatengwa Ujenzi wa mradi wa maji Biharamulo

    Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria. Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
  14. JamiiForums Tanzania Mkoa wa mbeya,haswa Jiji la Mbeya haujavutiwa na mradi wa Barabara

    Hali ya barabara za mkoa mzima wa Mbeya ,hali yake ni Mbaya!
  15. JamiiForums Tanzania NSSF Kutekeleza Mradi wa Uwekezaji wa Jengo la Ofisi na Jengo la Kitega Uchumi Dodoma

    NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA *Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5 *Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Mradi wa TESP kuweka mazingira mazuri katika utoaji wa elimu ya ualimu vyuoni

    Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi. Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...
  17. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  20. JamiiForums Tanzania Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…