MWANGA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekagua utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo lililokuwa Shamba Na. 2 Kisangiro, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, na kupongeza hatua zilizofikiwa katika utekelezaji...