mpya

  1. Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  2. Huu Mradi wa kuweka Kalavati mpya sehemu nyingi za Barabara Tanzania ni wa nani?

    Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji, Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
  3. T

    Tunauza vitabu vya shule mtalaa mpya

    Trumark Stationery & Books ni wakala wa vitabu vyote vya shule vya mtaala mpya. Ukinunua vitabu kwa wakala una uwezo mkubwa wa kupata punguzo la bei. Vitabu kuanzia shule ya awali, msingi na Sekondari. Vitabu vyote vya darasani na mazoezi. Popote ulipo Tanzania tunakuletea. Tupigie 0765...
  4. CHANGAMOTO KWENYE PC YANGU NIKITAKA KUWEKA DRIVERS MPYA

    Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc...
  5. Baada ya Jenshalee a.k.a kiungo wa penalty, Debora a.k.a kiungo wa benchi na Mutale a.k.a SGR, Tutarajie usajili gani mpya?

    Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
  6. M

    Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  7. GE2025 Spika Mpya 2025-2030?

    Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
  8. Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  9. Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  10. Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  11. Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  12. GE2025 Rais Samia: Katiba mpya itatekelezwa miaka 5 ijayo

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali. Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge 12 la...
  13. R

    Kutovunjwa bunge Leo Hadi hapo August, ni ishara ya kufanyika reforms kupata katiba mpya?

    Salaam! Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu, Sasa Nini kimelengwa hapo? Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi? Karibuni 🙏
  14. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  15. Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  16. K

    Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  17. Mkurugenzi Mpya TRC- Anza na kuondoa ujinga wa Stesheni ya Dodoma kujaza watu kama wanyama sehemu ya kupandia abiria

    Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
  18. RAIS afanya uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa milaya na mikoa 24 june 2025

  19. Je, Upo uwezekano wa mfumo mpya wa kiutawala kuzaliwa?

    Katika historia ya mwanadamu, mifumo ya kiutawala imekuwa kama wimbi linalofika ukingoni na kurudi baharini, haikai mahali pamoja. Tulishuhudia ujima, tukazama kwenye ukabaila, tukakumbatia ujamaa, tukakimbilia ubepari, na sasa tunaishi kwenye kivuli cha kile kinachoitwa Uliberali wa kisasa...
  20. D

    point mpya za fifa club world cup 2029, simba aipo top 10

    I will be short. club world cup updated points ni points za caf champions league tu. in short team za caf confederation cup hazipo. hii ndo list za point accumulated for fifa 2029 club World Cup. EVIDENCE LINK HII HAPA : https://en.wikipedia.org/wiki/2029_FIFA_Club_World_Cup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…