SETNET
Sisi ni vijana wa Kitanzania tulioamua kuanzisha app ya kisasa kwa nia ya kuwa na jukwaa la kijamii, kibiashara, kielimu na kiburudani linalotoka Tanzania, kwa ajili ya Watanzania na dunia nzima.
SETNET ni app ya kizalendo inayochanganya huduma nyingi maarufu kwenye app moja ili...