mpira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  3. JamiiForums Tanzania Mohamed Hussein na Shomari Kapombe hawajui kurusha Mpira kwa haraka?

    Hawa mabeki wawili wa Simba. Yaani ni Wazito sana kurusha Mpira ndani ya uwanja. Huwa nawaona kama vile hubabaika bila ya kujua wamrushie nani Mpira.
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani mitaa 28 Ukonga wametia mpira kwapani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya Jimbo la Ukonga, vyama vingine kwenye uchaguzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    TBCtaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship. Hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mnataka tusijasili mpira, mnataka tujadili nini?

    Imekuwa ni kawaida Kwa baadhi ya watu kukosoa kila panapotokea watu wa mpira kujadili mambo ya timu zao pendwa haswa Simba na Yanga, Kwa maelezo kuwa hawana la kufanya, ebu njooni taratibu mtiririke labda wapenzi wa Simba na Yanga wanaweza kuwaelewa na kujadili suala unaloliona wewe ni muhimu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

    Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  9. JamiiForums Tanzania Jude Bellingham amemaindi baada ya Vinicius Jr kutompa mpira apige penati

    Jude Bellingham 'is raging at Vinicius Jr's behaviour over a penalty' and 'is particularly upset' with his goal-scoring issues at Real Madrid The reason behind Jude Bellingham's fury at being substituted in Real Madrid's 3-1 defeat by AC Milan has been revealed. Defending champions Madrid...
  10. JamiiForums Tanzania Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

    Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea. Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  12. JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  13. JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  14. B

    JamiiForums Tanzania Aisee mpira umebadilika kweli leo hii Rodri anachukua Ballon d'or huku kuna viungo punda zaidi yake hawakuwahi kuikaribia tuzo hiyo!

    Vijana wa 2000 hakika wanakosa burudani sana katika mpira katika zama hizi ambapo kuna mabadiliko makubwa yanatokea kwenye mpira. Ebu twende nyuma kidogo viungo waliowahi kucheza mpira mkubwa hapa duniani lakini hawakuweza kuchukua hiyo tuzo ya Ballon d or. Pale France kulikuwa na wachezaji wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa. Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
  16. JamiiForums Tanzania Viwanja Bora vya mpira wa miguu Afrika

    Top 15 best stadiums in Africa 1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World Cup final between Spain and the Netherlands 2)- New Administrative Capital Stadium: Situated in...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza mpira wa siasa hapa Tanzania, matokeo wanayopata hauna uhalisia na ubora wao

    Hapo vip!! GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara. Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi. Ukiangalia mwenendo wa ushindi wa yanga, anapata magoli mengi anapocheza na timu zilizo sajiliwa na GSM Pia ili yanga...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tanzania tupunguzeni au ikiwezekana kabisa tuache upesi huu Ushamba ambao Unaboa

    Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu? Na haya ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Dakika 4 goli 3 huku dakika 90 goli 3 mpira hauna adabu

    Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4 Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
  20. C

    JamiiForums Tanzania Je, ndio yamenikuta kwenye banda langu la mpira?

    Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta nakodisha banda liliko lipo wazi msimu wa mwaka jana. Mtaa ninao kaa kulikuwa na mabanda mawili ya mpira ila msimu huu jamaa mmoja hakufungua kabisa.Kupita kuuliza nikaambiwa jamaaa kashindwa kwahiyo anakodisha pale Mimi huyo na kiranga changu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…