mpira

  1. FIFA kufuta magoli yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linatafakari kufanya mabadiliko makubwa katika sheria ya upigaji penalti kwa kuondoa mabao yanayofungwa kupitia mpira unaotemwa na kipa. Katika mapendekezo hayo, mchezaji atakuwa na nafasi moja pekee ya kufunga; endapo atakosa, mchezo utaendelea kwa kipa...
  2. Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  3. Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  4. Huu mpira wa bongo bana

    Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm Hii ni clear offside kabisa
  5. Kama ule ndio mpira wa Simba, natamani ifungwe kesho ili Fadlu afukuzwe

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema. Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya...
  6. Mukwala na Okello wagombania mpira wa penalti

    Uganda walipata penati kwenye mchezo wao dhidi ya Somalia, ikatokea Allan Okello na Steven Mukwala wote wakawa wanagombea kutaka nafasi ya kupiga penalti. Hivyo nahodha wao Khalid Aucho akaingilia kati na akachukua mpira kutoka kwa Mukwala na kumpatia Okello apige penati, Okello alifunga...
  7. Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  8. Car4Sale Marejesho yamenizidi uwezo naitupa “Toyota Surf“ yenye sunroof ya kupigia kampeni

    Bei/Price TSH 15.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA SURF Year: 1996 Engine: 2.7L Mileage: 100K Transmission: AUTO Sunroof Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  9. Je, Yesu na Paulo wangekuwepo "live" duniani leo, wangecheza au kushabikia mpira?

    Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka. Soka ni mchezo unaofurahisha na kuwaunganisha watu wengi duniani. Lakini, je, mmewahi kujiuliza kama Bwana wetu Yesu Kristo na mtume...
  10. R

    Machawa walijiingiza kwenye mpira wa leo, pitia responses utajua kuwa watu wamechafukwa

    Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
  11. Mcheza mpira wa vikapu mashuhuri Gaza afa akigombea chakula cha wanawe

  12. Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
  13. Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  14. Baada ya kugundua kuwa wamepigwa kwa Conte waliyemsifia na kumpamba sasa wameamua Kumrudisha Daktari wa Mpira Aucho

    Mlionywa mapema sana kuwa Msikurupuke ila kwakuwa mnajifanya nyie ni Wakubwa na mna Hela mkadharau sasa mmeshaumbuka na mnajuta kuingizwa Kingi kumsajili Mchezaji mbovu Conte.
  15. Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  16. C

    Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  17. Websites au livestreaming app za kuangalia mpira

    Kuelekea msimu mpya wa EPL kama kutakuwa na mtu anafahamu best livestreaming app, unaweza ukaziweka hapa ili tufaidike wote
  18. Mashabiki wa mpira acheni kelele, Kisheria pesa za timu ya Yanga haziwahusu

    Zama hizi mtu anayepiga kelele na kubwabwaja huyo ni tahira. Kama kiongozi au viongozi wame misuse pesa za timu ambazo ni za shirika mahakama ziko wazi. Kubwabwaja maana yake pesa za Yanga au Simba hazina uhusiano na mashabiki (haziwahusu) ila viongozi wakitaka pesa wanatumia ujinga wenu...
  19. Wanajua sana mpira hawa watu

    Taifa star timu inajua sana mpira hii afu mbona majina🧐🧐 mengi ni naniii .. kwani nanii hawajui mpira
  20. Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…