mpira

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

    Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  5. JamiiForums Tanzania Sikujua Malawi wana uawanja mzuri hivi!

    Unaitwa bingus national stadium. Misri alikufa mbili bila hapa na Ethiopia afcon wiki kama mbili zilizopita
  6. JamiiForums Tanzania Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira msipeleke hewani ndoto na mahaba yenu

    Uchambuzi ule wa mzee Kashsha RIP na Ally Mayai Tembele unazimgatia weledi, unafurahishisha kila mtu. Lakini baadhi ya wachambuzi wanawatia hasara wenye chombo Cha habari. Wakati huu ligi inaelekea ukingoni wakati timu zinafanya tathimini zao hata wachambuzi wa mpira na wamiliki wa vyombo vya...
  8. JamiiForums Tanzania Historia ya Mpira ya Dk. Mshindo Msolla inajulikana tokea 1980's Injinia Hersi Said atuambie yake ni ya lini?

    Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  10. JamiiForums Tanzania Ambao Hatuangalii mpira Saa hizi......

    Tuwe tunakutana siku zote za mechi kali Tudiscuss mambo mengine tofauti na mpira,Sio lazima wote tuwe mashabiki au mnaonaje jamani....We kama Shabiki wa mpira huu Uzi upite ukiwa umesimama!!! Kila siku Ya mechi Kali tutakuwa tunaweka mada hapa tunajadili...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

    Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui. Unafanya kitu kizuri ila kitakucost. Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu. Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongeza daraja la Tanzanite kutumika kuonesha mpira

    Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani. ======= Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu...
  13. JamiiForums Tanzania Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

    Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo. Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid). Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
  14. I

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

    Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo. Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko. Kwa upande wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  17. JamiiForums Tanzania Kweli Simba ni next level

    Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa. Ila bingwa anaongoza...
  18. JamiiForums Tanzania Azam FC huu Mpira mlioucheza na Simba SC jana Chamazi mngeucheza katika Mechi zenu zote mmgekuwa "mnademadema' hivyo katika Ligi?

    Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
  19. JamiiForums Tanzania Nicheze android game lipi zuri la mpira?

    Ukitoa hii UTOPOLO (Dream Winners) game gani zuri la mpira (offline) ambalo nikiwa nacheza linatangazwa....
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…