mpinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arusha ni sehemu isiyo na mpinzani katika matumizi ya bangi

    Arusha bangi ni kama sigara tu, sio big deal, Mikoa miingine watu wakijua unavuta bangi huwa unaonekana kama jambazi hivi 😂 Watalii wa nchi mbali mbali waliojaa Arusha wanavuta kitu cha chuga. Watu wazito, kuanzia mtajiri wa madini, ma ceo wa makampuni, wafanyabiashara wakubwa, n.k wanavuta...
  2. Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

    Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais. 2015, Lowassa akawatembezea fedha...
  3. F

    Mpinzani wa kweli alikuwa ni Rais Magufuli

    Upinzani wa Tz unatakiwa kuzaliwa upya kwa kutumia mifumo ya demokrasia komavu na pevu za USA na Uingereza ambapo mgombea anaposhindwa uchaguzi mmoja basi uchaguzi unaofuata hagombei tena bali anaachia ngazi kwa kutoa nafasi kwa sura mpya asilani. Sura moja ikizoeleka sana ni sawa na adui kuzoea...
  4. Mjue kidogo mpinzani wa Simba Sc Jwaneng Galaxy

    Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19 Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa kushiriki CAFCL. Simba Sc Mungu awape nini. Msilete dharau,huyu mnamkazia kama mnacheza na Zamalek
  5. Belarus: Mpinzani wa Rais ahukumiwa kifungo cha miaka 14

    Mpinzani wa zamani wa Urais wa Taifa hilo, Viktor Babaryko, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye mashtaka ya kupokea rushwa na utakatishaji fedha. Babaryko ni miongoni wa Wapinzani wakuu wa Rais Alexander Lukashenko ambayo wamefungwa au kulazimika kukimbia Nchi...
  6. Kama ulikuwa mpinzani 2015 -2021, wewe ni mwamba na umeyashinda mabaya mengi

    Kuanzia 2015 mwishoni Hadi 2021 Tulipokuwa tunawaambia TIME WILL TELL mlijua tunajifunza kingereza, we tumwa ukaue, tesa watu, dhulumu watu, shadadia watesi, zarau watu, tukana watu na wafanyie mabaya yote lakini kaa ukijua hiyo nayo ni mbegu ambayo itaota tu, mvua inyeshe au jua liwake itaota...
  7. Joti hana mpinzani kwenye tasnia ya uchekeshaji

    Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za professional jamaa anacheza vizuri Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa...
  8. Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa...
  9. T

    Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…