mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM watamwandama Mpina kuhakikisha anazuiwa kugombea ili mgombea wao asipate mpinzani yeyote

    Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !! Samia na timu yake sasa wanaweza...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Shinyanga: Mpina tunakudhamini tunajua utatusaidia

    Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu. Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Luhaga Mpina aonekana Chato, je kuna nini?

    Au ndio anakuwa anaenda kupata baraka? Maanda Yeye nae hapendi rushwa, uzembe na wizi wa mali za umma
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naona kuna hujuma ya kumtoa Mpina ili ionekane Uchaguzi ni kama wa Upande mmoja, CCM iwe makini

    Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje? Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na...
  5. JamiiForums Tanzania Mpina ana wenge au hana notes au ni oversize position?

    Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes?? nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani anatakiwa kumpa notes?? Yaani akiongea hata haletee ile feeling ya kuonyesha ana kitu cha kushawishi mtu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais

    Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali. Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo

    Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

    Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo: 1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija. 2. Tafuta sauti ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mpina bila kukatwa angebaki CCM milele, ni hasira tu zilezile za watangulizi wake.

    Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT. Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana maana yake ndiyo hii. Mpina hakipendi chama cha ACT, bali amelazimika tu kama walivyolazimika akina Mrema...
  10. JamiiForums Tanzania Ni ajabu kweli yule reporter kamuuliza Mpina kwanini ametoka CCM

    Sasa Mpina angefanya nini katika hali kama Ile? Pale Samia Suluhu ndio alionyesha udikteta wake. Bila sababu jina la Mpina limeondolewa,watu jimboni kwake imeonekana kama vile hawakupendezewa . It was unprovoked and uncalled for. Imeonyesha jinsi Samia alivyolewa madaraka. Sasa huyu mtu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Watuhumiwa wa ufisadi na ubadhilifu wa fedha za umma hawachukuliwi hatua badale yake wanapandishwa vyeo na kuteuliwa nafasi kubwa za maamuzi

    Mgombea na nafasi ya Urais ACT wazalendo na alieyekua mwanachama wa CCM, Luhaga Mpina akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam ameeleza kuhusu uwajibikaji wake kwa Taifa kwa kufichua vitendo vya ufisadi na rushwa kuwa kosa la yeye kuenguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma wakiamua kuleta ukabila, Basi mpina ni Rais , probality ya asilimia 85%

    Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors. Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  14. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

  15. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuna mikataba 43 ya Ubia Serikali imesaini bila kuipitisha Bungeni

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
  16. JamiiForums Tanzania Public reception ya Mpina imekuwa tofauti na matarajio

    Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
  17. JamiiForums Tanzania ACT na Mpina Serikali 3 zitawachelewesha kama wenzenu

    Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif? Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mpina siyo katoka CCM, kafukuzwa, akufukuzaye hakwambii toka

    Wakuu Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka CCM amefukuzwa CCM” ,
  19. JamiiForums Tanzania Samia haoni aibu kushindana na Mpina na Salim Mwalim

    Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
  20. JamiiForums Tanzania Hata kama kwa 75% sikubaliani nae ila kusema kuwa kupambana na akina Mwalimu na Mpina ni Kujishosha Hadhi hapa nasi tumeteleza

    Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…