mpenzi

  1. Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

    Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri. Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa...
  2. S

    Nimechoka kuwa single ,nahitaji mpenzi tupendane kwa dhati.

    Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke Vigezo vya nimtakae ni hivi. 1 Awe anaishi dar 2 Asiwe na mtoto. Dini sibagui Mimi pia naishi dar Umri wangu 33 Dini yangu muslim.
  3. N

    Wanawake Kubeba mimba bila makubaliano na mpenzi wako ni unyanyasaji wa kinjinsia

    Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana mwezangu ni mfanyabishara so kwenye hii mimba ya uyu mtoto amesumbuka sana sababu ilivyo fika miezi 4 ya...
  4. Mchumba wangu amefosi nimwambie ukweli na uongo kuhusu mimi, sasa ameninunia, nifanyaje?

    Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje? Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa Mteja: amenifosi nimwambie ukweli kuhusu mimi na uongo kuhusu mimi katika maisha yangu ambavyo sijawahi kumweleza mtu...
  5. M

    50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

    Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
  6. P

    Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo...
  7. Huu ujinga wa mtu akiwa mpenzi, mchumba, mchepuko, mke au mume basi unakuwa na haki miliki ya uhai na uhuru wake ulianzia wapi?

    Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
  8. Suluhisho la nguvu za Kiume

    Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume. Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
  9. Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  10. Uongo gani uliutumia kuaga nyumbani wakati unaenda kwa mpenzi

    Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu waliwazidi kete. Sijui uongo gani sijasema kwenda kupewa utamu :uwotWater::uwotWater::uwotWater: na...
  11. S

    Nahitaji mpenzi (ke) awe dar na asitoke familia ya kishua

    Nahitaji mpenzi Umri wangu 33 Mpenzi ninayemuhitaji awe anaishi dar na asitoke familia ya kishua Nimeambatanisha picha ukiniridhia njoo pm
  12. D

    Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake

    Habari wakuu,kama heading inavyojieleza msijesema sjawajuza kiufupi nirudie tena "Unayemwita mpenzi wako Kila mkimaliza kuchat anafuta chati zako ili asikamatwe na mpenzi wake"Tukutane site
  13. Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

    Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga. Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
  14. Picha: Kiss bojobojo la Clatous Chama kwa mpenzi wake

    Love is beautiful thing 🥰❣️ Je, wewe na huyo mwenzako mnaenjoy na kupata vitu vitamu kama hivi???
  15. Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

    Tajiri hatoi maelezo mengi pesa ndiyo inaongea. Kwanza ifahamike hapa sitongozi bali natoa nafasi kwa wadada wa jf. Huyu mpenzi wa sasa amenishinda, hajui kitu kuhusu mapenzi. Tajiri Sina BAYA Machache kuhusu mimi. 1. Nina hela. 2. Sina muda wa kubembeleza mpenzi. 3. Nina hela. 4, 5, 6, 7, 8...
  16. Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  17. Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  18. J

    Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  19. Ruvuma: Erick Turuka (23) amuua kikatili mpenzi wake kisa amemkatalia kumuoa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia kijana Erick Turuka (23) maarufu kama Keneth, ambaye ni muuza bucha la nyama ya nguruwe, kwa tuhuma za kumuua kikatili msichana wa kazi aitwaye Shukrani Ajiliwa (19), mkazi wa Namihoro, Songea Vijijini. Akiongea na Waandishi wa Habari Kamanda wa...
  20. Mpenzi (KE) awe kanda ya ziwa

    ..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…