mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

    Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya. Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena. UZI TAYARI.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

    Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

    Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
  4. JamiiForums Tanzania Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically. Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile...
  5. JamiiForums Tanzania Ushakuwa na mpenzi mbabe ambaye ukimtest kukaa kimya na yeye anabaki kimya?

    Hii Game hua niliipenda Sanaa, sio unakua na kajitu kanyonge, masaa hayapiti kanalia. Mda mwingine inabidi uwe na mtu anayekutingisha kidogo, hata thamani yake utaiona. Mimi nilikuaga na Mchezo, demu tukipishana kidogo tuu na mute, yaani piga ua simtafuti mpaka awe mpole mwenyewe, hili...
  6. JamiiForums Tanzania Mdau anaomba miongozo baada ya kukuta hiki kifaa kwenye mkoba wa mpenzi wake

  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha muhimu upendo. Asinitegemee sana maana sina kikubwa cha kumpa zaidi ya upendo na Muda wangu. Kwa Aliye...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kupata kipigo toka kwa kaka zake na mpenzi (demu) wako bila kosa kwa wivu tu wanakufungia ndani kwao wanakupinga kama Mbwa?

    Shalom, Nimekumbuka hii story ya siku nyingi sana mtoto mmojawapo wa marehemu Advocate na pia Mwalimu Masumbuko Lamwai, alikuwa na demu wake mmoja hivi kitambo sana miaka 21+ hivi nyuma. Huyu kijana wa Lamwai alikuwa na demu ambae huyo demu alikuwa na kaka zake kadhaa, kuna siku mtoto wa Lamwai...
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza kumfanya hivi mpenzi wako kwenye bodaboda

  10. P

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki niende naye ughaibuni

    Umufia kwenu wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani. Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale...
  11. JamiiForums Tanzania Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Huyu demu ni mzuri na anaonekana very decent kwa nje. Msukuma wa Shinyanga. Mimi kiukweli niitegemea ngekaa kwake kwa utulivu but baadaye nikaja ona ana ujanja wa kishamba. Mimi nlikutana naye JF miaka kadhaa ya nyuma. Tukawa friends, tukapeana namba za simu. One time akaniambia nimfuate Nzega...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe. Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba...
  13. JamiiForums Tanzania Nashindwa kumsamehe huyu mpenzi wangu

    Wakuu naomba mnipe msaada wa mawazo maana tunatofautiana experience humu ndani. Nilikua na mpenzi tuliyedumu naye miaka mingi kidogo kama miaka mitano kama wapenzi, nilimfahamu nilipokua form five mpaka namaliza chuo tulikua pamoja, baada ya kumaliza chuo nilimpa huyu binti mimba, alinipa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

    Habar Mwanajukwaa la Mahusiano. Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa? Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
  15. JamiiForums Tanzania Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza. Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti, ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi) Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena...
  16. JamiiForums Tanzania Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  17. JamiiForums Tanzania Long Distance relationship: Twende round ya pili Mpenzi

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii convo ya wapenzi wanaoishi mbalimbali. Angalia hapa jinsi mahusiano ya mbali yanavyoendeshwa na hawa watu.
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, siku akikuchoka kubali kuachika siyo unakuwa king'ang'anizi

    Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako. Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

    Kwema? Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package. Kuna wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…