mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TFF/ BODI YA LIGI N TETENAS YA SOKA KWENYE NCHI YETU MTATESEKA SANA MPAKA WALE WATU WAONDOKE PALE AMA UMWENGUNI

    WAKATI WATANZANIA MKSHANGAA VITUKO VYA JANA ISSUE IKO HIVI KUNA BOI MEMBERS WAKO PALE WANASAPOTI SIMBA WAKIONGOZWA NA RAIS WA TFF KARIA BAADA YAKUPITA WANAKOJUA SIMBA WAKADANGANYWA KESHO MKIINGIXA TIMU MNAKUFA SI CHINI YA TANO WALICHOFANYA TFF NA WENXIE WA BODI WAKACHEXA DILI NA KAMISHNA...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa mpaka sekta ya michezo Colombia

    Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja? Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata tiketi ya kutazama, mwisho wa siku mechi inahairishwa. Huu ni utapeli kama utapeli mwingine kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  4. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaoa Malaya halafu mnatarajia amani katika ndoa . No. No., Nyumba ambayo ina mwanamke Malaya hakuna kupoa mpaka mmoja atangulie

    Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa. Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi. Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Goba kulangwa plots for sale kuanzia sqm 400 mpaka 2000

    Goba kulangwa surveyed plots for sale 1.5 km.for main road 50000tsh per square meter Kuwahi kwako ndio kupata Viwanja vinaanzia square meters 400 mpaka 2000 Mradi huu vimebaki vichache 0742 892 195 Call whatsapp
  8. JamiiForums Tanzania Nikitu gani wazazi wako walikukataza toka utotoni lakin mpaka sasa ujakiacha umeshindwa kuacha kabisa

    Hello kuna vitu wazazi walikuwa wanatukataza kabisa kuvifanya na ikibidi ata fimbo utapigwa ila wapi ujaacha Mimi kula nimelala au nikiwa na kula situlii sehemu moja nitatembea tembea mpaka namaliza kula naweza chukua lisaa kabisa Kingineni engeezee ni kunywa maji nikiwa nimelala...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  10. JamiiForums Tanzania Mix by Yas mnatutesa sana kuanzia huduma zenu mpaka hao huduma kwa wateja yenu

    Hizi siku tatiu NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
  11. JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa wanangu wa NETO

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
  12. JamiiForums Tanzania Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo. Soma Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

    Habari wakuu Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha serikali ifanye inavyotaka,lakini kuwa muhuriwa mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi yetu au...
  17. JamiiForums Tanzania Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  18. JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…