mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi; Kama CHADEMA Itaweza ku-survive mpaka 2027 bila Ruzuku. Kitakua kama Imani katika Dini

    Sabato Njema! Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana. Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote. Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
  2. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

    Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi? Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la...
  4. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

    Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha. Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
  5. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya Simba Sports Club mpaka sasa

    Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania. 🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025 Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chadema contract very good Historian aandike historia ya Chadema na magumu ya siasa wanazozipitia toka ianzishwe mpaka sasa

    Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective. Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu

    Kati ya maajabu niliyokutana nayo Duniani yapo sita ambayo mpaka Leo yanaishi kwenye fikra zangu. 1.ilikuwa kati ya miaka 96 ad 98 wakati mdogo niliona nyoka ana vichwa viwili niliogopa sana..hii ilikuwa Moro vijijini. 2.miaka hiyo hiyo nikiwa kwa bibi maeneo ya kibungo juu kuna siku mvua...
  9. JamiiForums Tanzania Januari 20 mpaka Februari 18

    Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo mwishoni - zinazoanzia March 21-31 - zinazoanzia May 21-31 - zinazoanzia July 23-31 - zinazoanzia September 23-30...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao, Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
  11. JamiiForums Tanzania JTC yatembelea alama ya mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Zambia

    TUNDUMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika. Mpaka wa Tanzania na...
  12. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  14. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Tumbili na Ngedere hapa Dar hasa Mbezi beach mpaka Ununio

    Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi. Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta masaiti. Boko mpaka mbweni ngedere na tumbili wamezaliana sana na kuleta tishio la magonjwa na usalama wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unayajua Makundi mangapi ya 'Kujipendekeza' kwa Rais Samia?

    Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo..... 1.Mama Ongea na Mwanao 2. Samia Squad 3. Mama tutakutetea hadi Umauti 4. Mama Samia Tunakupenda Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ni events zenye Jina la Samia mpaka sasa

    Samia music festival Samia comedy Samia jogging Samia kalamu awards Samia nyama choma Samia film awards Samia cup Samia media awards Nimechoka kutaja... Mpaka kufikia mwezi wa 10 walah wabilah kazi itakuwepo
  18. F

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  19. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 kwa mda wa miaka 10 mpaka 20

    Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 na ntatumia njia zifuatazo kuweza kulitimiza hili jambo Kuwekeza kwenye michezo ambayo itakuza utalii Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji cha large scale Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining KKupitia hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…