mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  2. Wachaga mpo! Mmelala mpaka Chama chenu kimeondoka , sasa mtabaki na nini?

    Lengo la uzi huu ni kuwachangamsha kidogo ili mpate hamasa ya kufanya siasa na sio lengo baya Leo nawatania ndugu zangu Wachaga, mlikuwa na Chama cha CHADEMA mmezubaa mpaka kimeondoka, mali yenu imeondoka mwanangu, Mosha, Mrema, Tarimo, Mtei, Mbowe, Kimoso, Tairo mali imeondoka asee sasa...
  3. Tupo na Mama mpaka tushike namba 1 duniani. SAMIA MITANO TENA

  4. Je ushawahi kulala lock up? Ilikuwaje mpaka ukalala?

    Habari, Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala? Karibuni wajumbe ili tuelimike
  5. Hongera sana majeshi ya Israel kwa kuwabana magaidi wa Hamas mpaka wamekubali kuwaachia mateka wote

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema "Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya. Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
  6. H

    Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

    Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye? Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
  7. R

    TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  8. Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
  9. Ujinga wetu sasa umepanda mpaka vyuo vikuu

    Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao aibu naona Mimi. Hivi mwanafunzi wa chuo kikuu anashindwaje kutambua ubaya wa hii katiba...
  10. K

    Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

    Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na...
  11. Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  12. Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  13. Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

    Wakuu Kwanini Mchungaji ameshuka?
  14. Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Nkimaanisha idea gan app ya KITANZANIA unatamani kuiona ila bado hujaiona
  15. Ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh elfu 3000 mpaka 5000

    Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la kawaida Wako watakaosema haiwezekani ila inawezekana vizuri tu kama nia ikiwepo
  16. Wachagga wengi huwa wanafikiri mbege ni noma mpaka siku wanapojaribu togwa

    Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa. Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu nchini lakini kinashika namba mbili kikiwa nyuma kidogo ya gongo wakati mbege ikishika namba tatu...
  17. Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  18. R

    viingilio vya vijiwe vya bodaboda hufika mpaka laki 8, hii ni sawa ?

    watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda. mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu mno zinafikia mpaka laki 8, na hapo ubahatike kuwe na nafasi ya wazi maana kuna limit ya idadi ya...
  19. Hivi Ni Mpaka Wafe Watu Wangapi Mbagala Ndio Serikali Ichukue Hatua?

    Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite. Hii barabara haina alama yoyote ya...
  20. Kwanini hawaachani mpaka wanauana?

    Nimegundua sababu ya wanandoa kutokuachana hata kama Wana ugomvi ndani,....ni mazoea. Ule muda wa amani kidogo tu,mkacheka pamoja na kujadili maendeleo ya familia pamoja....huo muda ni kumbukumbu tosha pale mwenzio anapokuwa mbali nawe.... Kuogopa kuachana sababu ya watoto huenda ikawa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…