mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  2. JamiiForums Tanzania Nikiongea nae anatabasamu tu bila kunijibu Chochote. Mpaka nilipoambiwa huyo ni Kiziwi, Hakusikii

    Wakuu, hivi ushawahi kukutana na mtu yuko poa sana ila tatizo lake ni moja tu hasikii. Mimi niimewahi kukutana na changamoto hii kama mara mbili hivi. Moja kuna Mama mmoja mtu mzima sana nilikua kila nikipita nyumbani kwake namkuta anashughulikia bustani yake ila kila nikipita nikimsalimia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni Ubunge wa kuteuliwa Ukuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

    Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

    Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za uchaguzi wa CCM toka asubuhi nimeuza Kangala mpaka nimechoka.

    Wajumbe ni watu wema sana. Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi. Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao. Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu. Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
  8. JamiiForums Tanzania CCM wamesahau kuwa waliunda mpaka bunge la Katiba?

    CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  10. JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

  11. JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  12. JamiiForums Tanzania Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
  14. JamiiForums Tanzania Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  16. JamiiForums Tanzania Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

    Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu. Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wastaafu huku mtaani wanalalamika mpaka leo ni Bilabila. Nini Kimetokea?

    Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
  18. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  19. JamiiForums Tanzania 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  20. JamiiForums Tanzania Mke agoma kurudi hadi atumiwe Laki na nusu

    Ndoa zinavituko sana, huyu jamaa yangu baada yakwenda kuoga si kaacha simu open MKE kakuta Sms kibao za Mchepuko naugomvi ukaanza hapo ni full makelele, Asubuhi mwanamke karudi kwao, wazazi wakasuruhisha lakini mwanamke kagoma Rudi kwa jamaa mpaka ATUMIWE LAKI nanusu.. WAtoto kaachiwa jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…