moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katambi: Tuwatie moyo askari, tusiwatweze na kuwaumiza wamejitoa maisha yao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa amani iliyopo nchini kwa kiasi kikubwa imechangiwa na kazi kubwa inayofanywa na majeshi ya ulinzi na usalama, huku akitoa wito kwa wananchi kutotoa kauli mbaya na kutowatweza askari na badala yake wawatie moyo kwani wamejitolea...
  2. JamiiForums Tanzania BODABODA mna moyo wa ujasiri sana

    Naomba niwapongeze bodaboda wote walifatilia watekaji kama wasingekuwa wao Djumbe tusingemuona tena bodaboda mmefanya jambo la ujasiri sana kuhatarisha maisha yenu Mungu atawalipeni watekaji walifyatua risasi lakini mlinusurika wote Djumbe kapata upenyo ameoka nafsi yake kutoka kwa watekaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi ya udaktari ni ngumu sana, hawa watu tuwatie moyo sana.

    Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari. Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu...
  4. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa huyu kijana shupavu ambae amewatia moyo Gen Z kuwa sio wahuni wala majambazi wanaostahili kupigwa na kutekwa

    Kijana shujaa wa Chadema ya Lissu👇
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA wameanza kusema ukweli wa Moyo

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande. RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai wa mara kwa umara unatanua moyo au kuufanya uende mbio?

    Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka." Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka," na wengi wetu tukajikuta tunaogopa kula mayai kwa kuhofia afya zetu. Wengine wanasema shida ni kile...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  9. JamiiForums Tanzania Mama: Mapigo ya Moyo Wangu, Mwanga wa Njia Yangu

    Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo. Ulinibeba si tumboni tu kwa miezi tisa, bali unanibeba moyoni mwako kila siku ya maisha yangu. Nakumbuka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya fikra duni za maisha, kunyanyaswa kwa watu na kujipa moyo ''wapambanaji'' ni uzwazwa

    Habari wanaJF . Niende moja kwa moja kwenye mada kuu . katika kile kinachoendelea hasa huko south , ukweli ni kwamba lazima mkubali nyie ni wakimbizi , kuujua ukweli ni kupona: kwa nn ulazimishe kuishi kwa watu na wenyewe hawakutaki? Kumekuwa na kasumba kwamba eti ni ''wapambanaji '' ukweli ni...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo nimetonyeshwa kidonda kilichokuwa kinaelekea kupona, Moyo wangu unavuja damu

    Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana. Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa nimeanza kuyasahau
  13. JamiiForums Tanzania Mungu ana angalia moyo wako na sio mavazi

    Mungu angalii mavazi au jinsi ulivyo Mungu ana angalia moyo wako unaweza kuwa unavaa Unavyopenda na Mungu akakutumia , jikite kuwa mtu mwenye upendo, utu, kusamehe, kusaidia ayo ndio mambo ya msingi . Mavazi sio dhambi kama watumishi wengi wanavyosema Mungu ana angalia moyo , Watumishi...
  14. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachunguze hii ya mstuko wa moyo isijekuwa ni mstukizo wa moyo

    Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla Alianza Job Ndugai. Alifuata Jenista Mhagama. Na sasa Wiliam Lukuvi. Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au? Nani atafuata? Kunani?
  15. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  16. JamiiForums Tanzania Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

    Wakuu salam aleykum. Ndugu katika imani niseme ukweli tu, Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah, ila tu kiukweli sina amani na maisha ya mjini. Napachukia sana sana, sana, sana, natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa. Mimi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini...
  17. JamiiForums Tanzania Kipimo Cha moyo

    Naomba kuuliza kipimo Cha moyo ni bei Gani? Asante
  18. JamiiForums Tanzania Buriani Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo, Japo Pengo Lako Halitazibika, Tutakuenzi Kwa Kukuishi, Haswa Ule Upendo Wako wa Dhati na Moyo wa Kusamehe!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  20. JamiiForums Tanzania Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…