Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu.
Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...