movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  2. X

    Hii ndiyo sababu kwa nini wanawake wengi wanaipenda movie ya "TITANIC"

    Titanic ni moja ya movie duniani ambayo mpaka sasa iko kwenye rekodi ya movies zilizouza sana duniani hadi kufikia gross sales kwenye box market USD 1 billion. Movies nyingi huwa zina starring na kubwa la maadui (villain). Kwa miaka mingi wengi wameitazama hii movie ya TITANIC ila mpaka leo...
  3. R

    Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

    Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa. Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
  4. Movie kali ya weekend

    Movie Kali ya weekend Wakati mwingine usipende kuishi pekee yako ni Hatari kilichomkuta huyu dada ni fundisho kwa wengine movie Kali sana https://youtu.be/bYF1bbjCdEg Unaweza kuidownload yote na kuweza ku enjoy weekend yako movie Kali sana
  5. Hii ndo movie kali ya kutisha kaitizame

    MOVIE KALI YA KUTISHA πŸ”₯πŸ”₯ Mtoto wa AJABU movie Kali ya kutisha Sio kila mtoto wa kuishi naye wengine ni majini wazazi walijuta kwanini walimuokota huyu mtoto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Hii movie usipokimbia basi wewe Bingwa πŸ˜‚πŸ˜‚ https://youtu.be/98pBUiOomKc
  6. UNAPENDA MOVIE πŸ˜‹

    movie Time πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Kuna nyakati inabidi tuangalie na sehemu tunazotafuta maisha 😌 Vijana walipoona pesa zinapatikana baharini wakaamua watazitafute kilichotokea hawakusahau kwenye maisha yao yote ✍🏾 Video itizame πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ https://youtu.be/RSPb8d1ofBI
  7. Naomba ushauri, ninunue pikipiki au nifungue library ya kuingiza movie katika flash? (nina Tsh. milioni 1. 2)

    Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2? Asanteni.
  8. Usiku kama huu uangalie na Horror Movie utalala kweli?

    Wadau naona usingizi hauji, nikicheki horror movie, ntapata usingizi?
  9. E

    devil stays movie

    devil stays movie Download After the sudden tragic loss of his daughter following an exorcism, a renowned heart surgeon refuses to face the reality that his child has died, despite declarations from medical examiners and even the priest who performed the expulsion. But as the funeral rites...
  10. Casting Superman for new DCEU movie

    1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. This is just a parody 🀣 don't take it seriously πŸ™„
  11. Casting Captain America for Black Panther movie (parody)

    These are the possibility of actors to be casted (don't take it seriously πŸ˜ƒ) Tom Cruise John Depp Samuel Jackson Morgan Freeman The Rock Arnold Schwarzenegger Rambo The Taker Freelancer Dr. John Sins
  12. Huyu mdada kaifanya bongo movie irudi DUNIANI

    Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
  13. Movie & series za kutazama wiki hii

    Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
  14. Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  15. Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

    Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine. Nimeamua kwenda na hii...
  16. Tupia movie uipendayo tuidownload hapa

    Uzi tayari
  17. Casting of Next Predator Movie (parody)

    Casting The Predator. Cause why not. Who's your favourite. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. NB: My take is number 9 Danny Trejo πŸ˜ƒ
  18. Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

    Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani? Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu. Mara...
  19. Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

    Nimejikuta natokwa na chozi baada ya kucheki huu mzigo aiseee Wakuu acha kabisa.. All in all now nimepata katoto ka 2000 mi na mashangazi ndo basi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…