mossad

Mossad, is the national intelligence agency of Israel. It is one of the main entities in the Israeli Intelligence Community, along with Aman (military intelligence) and Shin Bet (internal security).
Mossad is responsible for intelligence collection, covert operations, and counter-terrorism. It is separate from the democratic institutions of Israel; because no law defines its purpose, objectives, roles, missions, powers or budget, and because it is exempt from the constitutional laws of the State of Israel, Mossad has been described as a deep state. Its director answers directly and only to the Prime Minister. Its annual budget is estimated to be around 10 billion shekels (US$2.73 billion) and it is estimated that it employs around 7,000 people directly, making it the one of the world's largest espionage agencies.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mossad iliajiri afisa Usalama wa kikosi maalumu cha Jeshi la Iran RGC kutega bomu chumbani mwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh

    Breaking News ni rasmi kuwa Mossad ilimuajiri afisa Usalama wa kikosi maalum Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya kabisa za muda huu Aliyetega mabomu chumbani kwa kubwa la maàdui Ismael haniyeh wa hatimaye kupelekea kifo alikuwa ni afisa Usalama wa Jeshi la Iran aliyepewa kazi hiyo maalumu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

    Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh, Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
  3. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

    Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
  4. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mossad kamwe haitawahi kumuua Sinwar

    Israel Mossad wanajua vizuri Yahya Sinwar alipo movements zake lakini kamwe hawataweza kuua na kumuangamiza kwasababu kazungukwa na mateka wayahudi hasa watoto na wanawake. Sinwar ni intelligent sana kwa njia hiyo kashaishi na wateule nakujua udhaifu wao. Anajua wazi hawawezi kumshambulia...
  5. gammaparticles

    JamiiForums Tanzania Iran attacked Mossad base in Erbil

    ERBIL, Kurdistan Region - Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) early Tuesday claimed responsibility for a massive ballistic missile attack on the Kurdistan Region’s capital of Erbil, claiming to have hit “spy headquarters” of anti-Iran groups in the Region. “In response to the recent...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mwandishi aliyetoa habari za vifo vya wanajeshi wa IDF kauliwa na Mossad

    Wanaukumbi.. ⚡️[Itathibitishwa] Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya siku 83 za vita. Idadi ya magari 825 Idadi ya Wazayuni waliouawa 8435 Idadi ya vifo vya Ufaransa 902...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Iran imetoa hukumu ya kifo maafisa 4 wa MOSSAD

    Wanakumbi. 🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali. Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli za kuhatarisha usalama wa Iran...
  9. Exile

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

    Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka. Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

    Wajuzi wa mambo mnaofatilia, bila shaka mtakubaliana na mimi kua haya mashambulizi ya leo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa na yamesababisha Casualties kama vifo vya wanajeshi pamoja na vifaa. Swali langu ni kuwa ni kweli Mossad wameshindwa ku detect hii issue kwakua kwa walichokifanya imechukua...
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  13. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

    Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran

    Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran. Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa watu hao wanne walikuwa sehemu ya mtandao wa kijasusi ambao ulikuwa ukishirikiana na shirika ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

    MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  18. Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Anga Jeshi la Iran afariki kwa ajali ya Gari. Je, ni kazi ya Mossad?

    JUST IN: Iranian Air Force IRGC officer killed in a car accident during a mission. Is the Mossad behind it? I guess we will never know.
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mossad yatajwa kutibua shambulio dhidi ya Waisraeli katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal

    Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti. Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hii 6th Sense ya Mtu Jasusi (Njagu) huwa anakuwa amezaliwa nayo au anafundishwa huko Vyuoni CIA na MOSSAD?

    Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia. Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
Back
Top Bottom