moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  2. JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

    Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza. Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Moshi Wagoma

    Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki. EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
  4. 7

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Aweso tusaidie wakazi wa Kawawa road na vitongoji vyake- Wilaya ya Moshi

    Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la upatikanaji maji limekuwa changamoto kubwa sana kwani maji yanatoka mara moja kwa wiki tena kwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za kuchafuana zashika kasi CCM Moshi mjini

    Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pisi za maana Moshi

    Wadau huko njema hapa?? Hivi Moshi wapi kuna chimbo naweza pata pisi za viwango? Kama wanachuo .
  8. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Moshi kwa nini mnaamua kupandisha kodi za Maroli bila kujadiliana kwa kina na wahusika?

    Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa upandaji wa kodi hivi karibuni wakaahidiwa wataitwa viongozi watajadiliana na kuona sh ngapi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujenga bweni la wavulana 80 kwa Tsh 150,000,000/= Ni upigaji mkubwa

    mwananchi.co.tz Moshi kujenga bweni la watoto wa kiume kukabiliana na ukatili Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo akizungumzia ujenzi wa bweni la wavulana linalojengwa katika shule ya kutwa ya Msandaka iliyopo Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro mara baada ya kulikagua. Picha na Janeth...
  10. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Moshi nionesheni viwanja

    Nakaribia kuingia Moshi mjini, nipeni ramani nikapoe kiwanja gani cha ukweli,kama night club yenye lodge humohumo.
  11. JamiiForums Tanzania Banda la biashara Moshi Linahitajika

    Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
  12. JamiiForums Tanzania Mliojaribu huu Mseto Tukuka wa Nazi Mbichi, Mtindi, Karanga Mbichi, Konyagi, Asali na Moshi wa Pombe Jani ni kweli vinamfanya Mtu aone Moto Bedroom?

    Nipeni Majibu yenu haraka kwani kuna Mtu kanilia sana Vyangu na Kunikwepa, lla Leo Kajaa na yuko sasa Maghetoni.
  13. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?.. Ni viburi vya nafasi au vipi?
  15. JamiiForums Tanzania Njoro, Kaloleni wavamia na kujenga juu ya mtandao wa majitaka moshi

    Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba. Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Baba Mtakatifu Yohane Paulo II, Moshi iliniliza

    Tarehe 5 September, 1990 Baba Mtakatifu Yohane Paulo wa Pili (II) na Rais wa Vatican alitembelea Jimbo Kuu Katoliki la Moshi. Hakika ndugu waumini (nikiwemo) tulibubujikwa na machozi ya furaha. Ni wakati sasa Baba Mtakatifu Francis atembelee tena Jimbo Kuu na Kanisa Kuu la KRISTO MFALME kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa kodi ya sherehe Moshi ni pigo jingine kwa wananchi wa wilaya hiyo.

    Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  19. JamiiForums Tanzania Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  20. JamiiForums Tanzania Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…