Wakuu,
Hii video inatrend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii
Hawa wananchi wa kwenye hiki kijiji cha Kisaki (Kata ya Kisaki), kilichopo katika Wilaya ya Morogoro Vijijini, Mkoa wa Morogoro,bila uoga wamelalamikia uonevu, unyanyasaji, na matumizi makubwa ya nguvu (ukatili) kupitiliza...