morogoro mjini

Morogoro Urban District (Swahili: Wilaya ya Morogoro Mjini) is one of the six districts of the Morogoro Region of Tanzania. It contains the city Morogoro, capital of the Morogoro Region, and no villages. Morogoro Urban District covers 260 square kilometres (100 sq mi). It is bordered to the east and south by the Morogoro Rural District and to the north and west by Mvomero District
As of 2012, the population of the Morogoro Urban District was 315,866.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Barua ya Wazi Kwa Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdul Aziz Abood: Bado tunasubiri yale madawati uliyotuahidi

    Mheshimiwa, Kwanza nikupe pole na Hongera Kwa kazi unazofanya kwenye Jamii. Mheshimiwa nakumbuka mwaka juzi kwenye mafuriko na sintofahamu pale ilipokuwa awali Shule ya Msingi Juhudi, kata ya Lukobe, Viongozi akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ilionekana eneo lile si salama tena Kwa watoto na...
  2. D

    Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    CONTACT ME 0762098871
  3. Superbug

    Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

    Ilivyokuwa Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee. Reaction ya...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

    Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria. Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM. HONGERA...
  5. M

    Nauza Kiwanja sqm² 600 (20/30)Tsh.2m kipo manispaa morogoro mjini ( mkundi>kiegea B) kimepimwa kina hati halali ..hakuna udalali njoo pm tuzungumze

    Kiwanja kipo manispaa morogoro mjini mkundi-mtaa Kiegea B Ni mali halali hati ipo panafikika vizur kwa gari Karib tuzungumze bei 2m Tsh.
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Morogoro: Wasio julikana waua na kutupa mwili kwenye makaburi ya Kola - Morogoro mjini

    Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
  7. Smart Eagles

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  8. Magical power

    Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  9. jlo father

    Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
  10. S

    Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  11. Chanazi

    PreGE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

    Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
  12. M

    Nyama, Nyama Morogoro Mjini

    Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana. Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak 12000 Mixer 9500 wahi
  13. N

    House4Rent Chumba cha kupanga Morogoro Mjini

    Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
  14. Vichekesho

    Kwa Milioni 200 naweza pata kiwanja cha biashara Morogoro mjini?

    Hapa namaanisha kiwanja kilichopimwa, kinachotazama barabara ambayo iko busy mahali ambapo naweza kujenga jengo la biashara na ofisi. Kiwe na full documents, kisiwe na migogoro, mauziano yafanyike mbele ya mawakili wasomi na wataalamu wa mambo ya ardhi bila kusahau viongozi wa eneo husika. Je...
  15. Roving Journalist

    TRC yatangaza ratiba mpya ya SGR, Treni ya Express Dar-Moro haitasimama vituo vya njiani

    MABADILIKO YA RATIBA NA ONGEZEKO LA SAFARI ZA TRENI ZA SGR KUANZIA TAREHE 5 JULAI 2024 Dar es Salaam, Tarehe 1 Julai 2024 Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuhusu mabadiliko ya ratiba na ongezeko la safari za treni za reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kati ya Dar es Salaam na...
  16. A

    KERO Morogoro Mjini: Baadhi ya maduka vocha zinauzwa bei za juu kiholela (mtaa wa Falkland)

    Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=. Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela...
  17. Tanzania Railways Corp

    Treni Mchongoko yawasili nchini

    Seti ya kwanza ya EMU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
  18. E

    Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  19. K

    Natafuta mteja wa iliki na pilipili manga whole sale, nipo Morogoro mjini

    Nipo Morogoro mjini natafuta mteja wa iliki na pilipili manga, iliki zipo zaidi ya kilo 500, bei tunakubaliana
  20. The bump

    Mkazi wa Morogoro Mjini mwenye smartphone inayotoa picha nzuri, nakupa 12,000 unipigie picha Unitumie

    Kama Unaishi Morogoro mjini naomba msaada wako wa hali na mali. Kuna tangazo la nyumba nimelipost Jana watu wengi wanunuzi wanahitaji Picha, lakini ubaya ni kwamba picha zinashindwa kupatikana kutokana na watu kukosa simu zenye ubora...
Back
Top Bottom