1-Uhispania ni moja ya timu ninayoipenda na kuishabikia, na ligi yao vile vile nimetokea kuipenda sana, pia ni shabiki wa Barcelona....
2-Argentina ni first team kuipenda na kuishabikia, tena kitambo haswaa..
3-Morocco the second team kuipenda na kuishabikia, haijalishi wametolewa...