Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa.
Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya...