moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Kibaha tulioajiriwa 2014 tupo nyuma kwa Daraja moja, Tume ya TSC inatuambia tuwe wapole

    Mimi ni Mwalimu wa Manispaa ya Kibaha, kero yangu kubwa ni kuhusu madaraja ya ngazi ya mshahara, sisi tulioajiriwa Mwaka 2014 tupo nyuma kwa daraja moja. Mpaka sasa kwa muda tuliokaa kazini tungetakiwa tuwe tumefikisha Mwl Daraja G lakini tupo Mwl Daraja F na hii ni kwa Walimu wote Tanzania...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuna baa moja huku kijijini Nyamongo Tarime imeandikwa Kila bosi anaye bosi wake

    Wadau naomba maoni yenu niko mitaa ya Nyamongi muda huu naona hiyo baa ikiwa na hilo jina watu wako ndani wanakula bata
  3. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya maili Moja mpaka Chalinze ni Kero kubwa

    Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee, Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Written Interview za Utumishi matokeo yake ni unfair. Kwanini mfumo hautoi matokeo moja kwa moja unapo-submit mtihani?

    Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo? Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa. Tunaomba mfumo...
  5. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico. Idadi ya timu...
  7. JamiiForums Tanzania China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa

    Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025, idadi ya watalii walioingia nchini China ilizidi milioni 150, ambalo ni ongezeko la zaidi ya asilimia...
  8. JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  9. C

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
  11. JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  12. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Siku Moja kabla ya mechi tulimkamata Mtu anapulizia dawa kwenye Vyumba vyetu Mkapa

    Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo uwanjani. Zakazakazi amesema wazi kuwa Yanga hawapaswi kutafuta sababu za nje kabla au baada ya mechi...
  13. JamiiForums Tanzania Dharula moja inaweza kufuta akiba zako zote kama hukujipanga

    Dharula/emergency au Ugonjwa mmoja unaweza kufuta savings zako zote kama hujajiandaa Watu wengi wanapanga bajeti vizuri lakini wanapuuza kitu kimoja muhimu sana: emergencies. Dharula haipigi hodi, hujui ni lini utapata malaria, hujui lini mama nyumbani ataugua, mwanao ataharibu mali za watu...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekuwa SHORTLISTED kada zaidi ya 3, naweza kufanya usaili kada zote au natakiwa kuchagua moja tu?

    Habari guys? Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini. Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta nimeitwa kwenye usaili katika kada zaidi ya 3. Matangazo ya kada zote wanasema usaili utafanyika kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa. Top ya matajiri katika nchi kuwa wa rangi moja tu

    Sio kwa ubaya lakini sio hali ya kawaida katika nchi ambayo wengi ni Wabantu, Waniloti na Wakushi matajiri top kabisa katika nchi kuwa ni Wahindi, Waarabu na Waburushi/Wapersia na wao kuwa ndio walioshikilia sehemu kubwa ya uchumi na sekta muhimu za uchumi. Inaweza isizingatiwe kwa sasa lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuhamisha unit za umeme wa Single phase kutoka meter moja kwenda meter nyingine?

    Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine? Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote mwenye mke lazima kuna moja ya sifa hizi zinamsumbua

    Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume 1. Controllers Hawa Ni Wale Wanawake Ambao, Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo, Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control. Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak" 2. Boxing Women Hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

    Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
  19. JamiiForums Tanzania Breaking News: Moja kwamoja kutoka mtaani kwetu

    Mtoto wakike mrembo wa kidato cha 4 kaingia kwenye nyumba ya mwalimu msela tangu saa 4 asubuhi hadi sasa hajatoka. Ni mtoto wa diwani wa CCM.
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…