moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanafaa kukabidhiwa nchi?

    Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta ferric chrolide

    Jamani ninashida na chemical Moja Ina it was FERRIC CHROLIDE
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hard Maths: Shinda Dollar Milioni Moja ($1,000,000)

    https://www.math.tugraz.at/~elsholtz/WWW/papers/papers14faber.html https://explainingscience.org/2019/09/01/the-goldbach-conjecture/ Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach, alifikiria dhana ambayo ilimshinda kuijibu na kuomba Mwanahisabati mwingine mbobozi anayejulikana kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jioni moja nyumbani tulipokutana na nguvu za giza

    Yani ikabidi tuweke kambi nje maana ndani hakukaliki. Hakuna kilichoharibika maana pilau iliondoa sonona
  7. JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa anapohudhuria msiba wenye kamera lengo lake ni moja tu, ambalo ni kujiimarisha kisiasa, vivyo hivyo kwa mwanamuziki.

    Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa kujigharamia dawa. Wote ni watu, wote ni past . Hawawezi kufanya lolote tena. Ni void na ubatili. Hivyo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  10. JamiiForums Tanzania Pantheon Show: Moja ya series bora zaidi upande wa TECH

    Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
  11. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita tumeona rangi zote, sukari kilo Moja elfu tano mia tano

    Kwa mara ya kwanza nimeona Marehemu anatukanwa kwenye awamu ya Sita,sijui kama utamaduni wa Mtanzania? Sukari kilo 5,500 Nyama kilo 10,000 Mchele kilo 4,000 Unga kilo 2,800 Petroli lita 3,300 Umeme Giza kama enzi za Richmond, Viongozi wananunua nyumba Palm Jumeirah Dubai na South Afrika...
  12. JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
  15. JamiiForums Tanzania Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

    Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha. Nasema...
  16. JamiiForums Tanzania Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Hii naileta bila salamu! Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi. Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Ndugu zetu wenye uchungu na Waarabu tunaomba kidogo muelekeze macho yenu kwa hawa weusi wenzetu wanaoteseka. Humu utakuta kunao hata wa dini yenu kama dini ndio hufanya mkomalie kuwalilia Waarabu. Displaced people seen in a refugee camp on the outskirts of Goma in North Kivu Province...
  18. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana alinitumia meseji ya usiku mwema sawa moja jioni.

    Huwa tunachati mpaka sawa tano usiku, ila cha kushangaza saa moja jioni naona meseji ya usiku mwema. Sikujibu ila nilimpigia simu haipatikani. Leo sijamtafuta naye hajanitafuta
  19. JamiiForums Tanzania Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vx moja ya Serikali iuzwe ili kufanyia matengenezo hili Daraja

    Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametembelelea katika kata ya Mwaya kujionea uharibifu uliojitokeza wa daraja kuvunjika na kusababisha kata nne za Mwaya, Ilonga, Mbuga na Ketaketa kukosa mawasiliano Mbunge Salimu amesema kwa sasa ameishatoa taarifa ya changamoto hiyo kwa mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…