moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  2. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya Makada wa CHADEMA ambao wenye mvuto sana kwa jamii katika ulingo wa Siasa ni Boniface Jacob A.K.A Boni Yai remember the name

    Habari! Mimi ni Moja ya wafuasi wa kutupwa Kule X nafuatilia sana machapisho ambayo hua anayaweka huyu jamaa For sure this Man ni threat Kwa serikali jamaa hua hatumii matusi hata kama baazi ya vijana wengine waliko katika Siasa. Umejiuliza kwanini Boni YAI na sio Martin Maranja? Martin hua...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  6. JamiiForums Tanzania Kuendesha magari kushoto ni moja ya hasara tuliyoachiwa na mkoloni.

    Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza. Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji moja ya gari hizi kwa milini tatu na nusu

    Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni tatu ,natafuta moja ya gari hizi pichani.Niko Kibaha,piga 0713 -039 875
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

    Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United. Chanzo: maulidkitenge Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

    Wadau hamjamboni nyote? Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake Taarifa kamili hapo chini: Hassan Ammar) Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nafasi zilizopo 11,000/= Walioomba. 200,000/= Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18. Interview ya Kwanza Written. Washiriki 200,000 Nafasi zinazogombewa 44,000 Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne. Interview ya Oral. Washiriki 44000 Nafasi zinazogombewa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  12. A

    JamiiForums Tanzania MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

    Dalili hizo ni pamoja na:- 1. Riba kuongezeka sana. Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni. 2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa. 3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
  14. L

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA GOROFA MOJA INAUZWA KWA BEI NAFUU

    NYUMBA YA KISASA(HEKALU) INAUZWA. Location : Goba TAARIFA ZA NYUMBA 1) GOROFA YA JUU --- V.I.P Masterbedroom yenye ukubwa wa 30sqm na imezungukwa na balcon upande wa kulia, kushoto na upande wa kichwa. ---GYM yenye CHUMBA na CHOO ndani yake.Ukiwa unatoka nje ya Gym kuna balcon nyingine...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa moja ya nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani ifikapo 2100, kuizidi Mexico, Japan na Brazil!

    Ifikapo mwaka 2100 Tanzania itakuwa kati ya nchi 10 kubwa zaidi duniani kwa idadi ya watu. Pia Tanzania itakuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Room Moja na choo

    Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m Natanguliza shukran zangu
  19. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

    Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan? Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…