moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Habari wadau. Naombeni msaada wa majibu. Je watu wa dini zote watakaotenda mema na kuingia peponi, watachanganywa pepo moja ama kila dini watakaa pepo yao peke yao. Je wataungana mbinguni kwenye pepo moja hata kama huku duniani hawataki kuungana ?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

    Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida. Tumpe maua yake talent ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  4. JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  5. JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  6. JamiiForums Tanzania Unaisaliti Chadema kwa kupewa kishika uchumba cha shilingi za kitanzania laki moja?

    Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini. Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kitaalamu

    Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

    Iko Nairobi yapata km 10 kutoka CBD ya Nairobi;- Kibera inajulikana kwa umaarufu wake kama moja ya mitaa ya mabanda mikubwa na maskini zaidi duniani. Hakuna idadi kamili ya watu wanaoishi Kibera, lakini makadirio yanatofautiana kutoka watu 700,000 hadi milioni moja. Katika Kibera, msongamano...
  9. JamiiForums Tanzania EATV saa moja jioni leo 15/05/2025: chama kipya kimesajiliwa

    Kama kichwa cha Post kinavyojieleza, mwenye kujua jina la hicho chama naomba aliweke hapa maana nimejaribu kukitafuta nimeshindwa.
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuvuta umeme nguzo Moja Bei gani

    Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
  11. JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya Bilioni 902 kati ya lengo la Trilioni 1

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
  13. JamiiForums Tanzania BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Moja ya watu unaotakiwa kuwaepuka ni Wale wanaopenda kukutajia makosa na aibu ulizozifanya wakati uliopita. Wenye chuki na wewe

    MOJA YA WATU UNAOTAKIWA KUWAEPUKA NI WALE WANAOPENDA KUKUTAJIA MAKOSA NA AIBU ULIZOZIFANYA WAKATI ULIOPITA. WENYE CHUKI NA WEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli unahitaji watu katika maisha lakini watu hao wasiwe toxic wenye Negativity. Watu wanaojifanya marafiki kumbe ni Adui...
  15. JamiiForums Tanzania Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
  16. R

    JamiiForums Tanzania Polisi tendeni haki, siku moja mkamateni Wasira au Nchimbi na kumweka ndani Ili kubalance mizania!

    Sasa! Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka, Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
  17. JamiiForums Tanzania Limebaki boom moja sina hata business idea

    Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea. Natamani kulia natamani kucheka Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...
  18. JamiiForums Tanzania Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi, niliibiwa

    Wiki moja toka nichapishe chapisho kuhusu ni namna gani ya kujikinga na wezi unapokwenda sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi niliibiwa Kwanza unachokisoma kwa watu mbalimbali humu unatakiwa kuchanganya na zako, as long as hakitakuwa na shida upande wako, maana kila mtu ana andika jambo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  20. JamiiForums Tanzania Utabiri wa uhakika: hawa ndio watakuwa mabingwa mbalimbali wa ulaya kuanzia uefa,europa comfarance league ikiwa mechi zimesalia chini ya nne had moja

    Uefa champions league PSG vs intermillan Bingwa PSG Europa uefa league Totenham hotsper vs manchester united Bingwa tottenham hotspers Ecl Real bets vs chelsea Bingwa: real bets Bingwa wa laliga :real madrid Bingwa wa seriA :intermillan Ikumbukwe kwa epl tayari liverpool...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…