moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viwanja Sasa ni Kwa bei ya ofa. Milioni Moja tu(1,000,000/=)

    Habari ya leo ndugu zangu....! Ninaendelea kiwashukru wote mnaoniunga mkono katika shughuli hii.Wengine Kwa faraja ya maneno na wengine Kwa kununua viwanja. Ahsante sana Kwa wale waliofika na kutembelea site zetu pia,hata kama hukupata nafasi ya kununua Kwa wakati huo,Nina Imani Kuna siku...
  2. JamiiForums Tanzania LEMA waambie Wanagenge wenzio wanufaika wa Pesa za Kimama, Acheni Mara Moja huo mchezo, Watanzania Hawatawasamehe, LISSU hatowasamehe !!

    TUNAJUA ,baada ya kusogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, tuliwavuruga sana , tulivuruga mnoo michongo yenu Ovu. Sasa sisi tunawaambia Leo 15/9/2026, ikawe kumbukumbu. Kama ambavyo MBOWE kadharauliwa na Wananchi, ndivyo nanyinyi mtaenda kua hivohivo !!. Unapenda sana Kumtumia Mungu, Sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Lema ni moja ya wanasiasa wa hovyo sana nchi hii imepata.

    Kwa hii sentensi yake moja tu,huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana,anasema "Makamu Mwenyekiti alirudishiwa passport yake baadq ya kuongea na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa,ila yeye anasema alirudishiwa na Mwanasheria wa Chama,kwa hiyo issue sio Watanzania ila yeye Lema hajapewa passport na mkurugenzi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Nimewaza tu kwa sauti na kwa maono ya Kimadhabau, Je yawezekana Rais akatokea huko mbeleni (Sisemi wa sasa) akaomba kupimzika kwa maslahi ya Taifa? 1. Inaweza kuwa ni kweli anataka kupumzika kisa Afya 2. Yaweza kuwa Nia njema kwa kusoma michezo ya wanaotaka kumrithi kwa mtandao akaamua akae...
  7. JamiiForums Tanzania Tanga; Kijiji kinaitwa mafisa aridhi ni bei chee 50k kwa heka Moja

    Vijana msijifungie sehemu Moja Ni Aridhi sio pori ==> 50k per heka Moja Ina support kilimo... mahindi , maharage...nk na ufugaji.
  8. JamiiForums Tanzania Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  9. JamiiForums Tanzania Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  10. JamiiForums Tanzania OMO anaposema kuwa Unguja hawakupewa Jimbo hata moja anamaanisha nini? Anabariki jinsi CCM wanavyogawa Majimbo kwenye uchaguzi ....!!?

    Nimemsikia OMO anaongea leo kwenye mkutano. Amedai kuwa Pemba walipewa majimbo Manne na Unguja hawakupewa hata jimbo moja. Je, anataka kukubaliana kuwa haya majimbo sasa yanatolewa kwa hisani ya CCM ama? Kwa jinsi alivyoongea ni kama vile anaomba hisani kwa CCM badala ya kudai haki yao.
  11. JamiiForums Tanzania Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

    Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded. SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km...
  12. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume msikandie vikoba vinawatoa sometime moja

    Baadhi yenu mnakandia vikoba na marejesho kadhalika,mwisho wa siku mna watuma wake zenu kukopa fedha kwenye hivyo vikundi kuendeshea shughuli zenu.
  14. JamiiForums Tanzania Tema Cheche aweka wazi mahari ya ni milioni mia moja

    Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90. Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
  15. JamiiForums Tanzania PASSWORD moja una login account zote za META

    META password moja kwa account zote. Yaani unaingia Facebook, Instagram, WhatsApp na apps zingine za meta kwa password moja . Sasa vip mtu akidaka password yako ana access kote daah. Hii imekaaje wakuu. Again; Username in WhatsApp na sio number tenaa coming soon!
  16. S

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Ni hivi karibuni waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda alikumbushia muda wa wanafunzi kufika shuleni asubuhi ni saa 2 asubuhi. Na hiyo ni kwa mujibu ws sheria namba 84 inayoongoza shule za misingi nchini. La ajabu walimu bado wanadharau na kupuuzia maelekezo ya viongozi wakuu level ya waziri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

    Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!! Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mwajiriwa ambaye Mhasibu amekosea malipo, mjibu boss wako kwa sentensi moja 😂😂😂

  19. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Samia na Ndejembi lao moja

    Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa. Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe. Sijui Ndejembi nimuite nani na nini...
  20. JamiiForums Tanzania Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…