mohammed

Muhammad (Arabic: مُحَمَّد‎, pronounced [muħammad]; c. 570 CE – 8 June 632 CE) was an Arab religious, social, and political leader and the founder of Islam. According to Islamic doctrine, he was a prophet, sent to preach and confirm the monotheistic teachings preached previously by Adam, Abraham, Moses, Jesus, and other prophets. He is viewed as the final prophet of God in all the main branches of Islam, though some modern denominations diverge from this belief. Muhammad united Arabia into a single Muslim polity, with the Quran as well as his teachings and practices forming the basis of Islamic religious belief. He is referred to by many appellations, including Messenger of Allah, The Prophet Muhammad, Allah's Apostle, Last Prophet of Islam, and others; there are also many variant spellings of Muhammad, such as Mohamet, Mahamad, Muhamad, and many others.
Born approximately 570 CE (Year of the Elephant) in the Arabian city of Mecca, Muhammad was orphaned at the age of six. He was raised under the care of his paternal grandfather Abd al-Muttalib, and upon his death, by his uncle Abu Talib. In later years, he would periodically seclude himself in a mountain cave named Hira for several nights of prayer. When he was 40, Muhammad reported being visited by Gabriel in the cave, and receiving his first revelation from God. Three years later, in 610, Muhammad started preaching these revelations publicly, proclaiming that "God is One", that complete "submission" (islām) to God is the right way of life (dīn), and that he was a prophet and messenger of God, similar to the other prophets in Islam.The followers of Muhammad were initially few in number, and experienced hostility from Meccan polytheists. He sent some of his followers to Abyssinia in 615 to shield them from prosecution, before he and his followers migrated from Mecca to Medina (then known as Yathrib) in 622. This event, the Hijra, marks the beginning of the Islamic calendar, also known as the Hijri Calendar. In Medina, Muhammad united the tribes under the Constitution of Medina. In December 629, after eight years of intermittent fighting with Meccan tribes, Muhammad gathered an army of 10,000 Muslim converts and marched on the city of Mecca. The conquest went largely uncontested and Muhammad seized the city with little bloodshed. In 632, a few months after returning from the Farewell Pilgrimage, he fell ill and died. By the time of his death, most of the Arabian Peninsula had converted to Islam.The revelations (each known as Ayah — literally, "Sign [of God]") that Muhammad reported receiving until his death form the verses of the Quran, regarded by Muslims as the verbatim "Word of God" on which the religion is based. Besides the Quran, Muhammad's teachings and practices (sunnah), found in the Hadith and sira (biography) literature, are also upheld and used as sources of Islamic law (see Sharia).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein athibitisha kuondoka Simba

    Baada ya kutumikia Simba SC kwa takribani miaka 11, nahodha wa klabu hiyo Mohamed Hussein ameagana rasmi na Wekundu wa Msimbazi kufuatia mkataba wake kumalizika na kutoongezwa tena. Mohamed Hussein, maarufu kama "Zimbwe Jr", ameacha alama kubwa ndani ya kikosi hicho akichangia mafanikio...
  2. JamiiForums Tanzania " Kama Mohammed hatoweza kwenda Mlimani, Mlima huenda kwa Mohammed. Ukrain yalipua Kambi kubwa ya kijeshi ya Urusi.

    And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

    Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa. Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  5. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: tutaendelea na vita kuwaunga mkono Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Msaada kwa Gaza unaendelea, na pia majibu. Netanyahu aanze kuandaa kujiuzulu kwake, kwani uhalifu wake ni vitendo vya gaidi aliyeshindwa. Ugaidi wa Marekani na Israel...
  7. JamiiForums Tanzania Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa!!

    Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa katika shambulio la Wanamaji wa Marekani.
  8. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Mohammed Said

    Nakuomba uandike salua ya al marhoom Joseph Kasela Bhantu,ili watanzania wamfahamu huyu mwamba
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida azindua Hostel na fremu 73 ambazo ni vitega uchumi vya UVCCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana March 24, 2025 Mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 za...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Kawaida: Upinzani haujajipanga kwa uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa vyama vya upinzani havina maandalizi wala ushawishi wa kushindana na wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa 2025, akidai kuwa vinatafuta sababu za kujiondoa kwenye mchakato huo...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu wa CUF Bi Husna Mohammed Abdallah amtembelea Wilfred Lwakatare

    Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi. Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February 2025 Alikwenda kumtembelea mmoja wa waasisi wa chama cha wananchi-Cuf ambae pia amewahi kuwa naibu...
  13. JamiiForums Tanzania Hotuba ya waziri mkuu Mohammed shamte

    Hotuba ya waziri mkuu wa Zanzibar Mohammed Shamte kwenye mkutano wa united nations tarehe 16/12/1963
  14. JamiiForums Tanzania Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

    Happy Christmas Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini? Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani? Kuna...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa katika makaburi ya Nyang’andu kivule jijini Dar

    Shura ya Maimamu Tanzania MAZISHI YA SHEIKH MWENYE UMRI MKUBWA ALIYEFIA GEREZANI Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), amezikwa jana tarehe 20/12/2024, saa 11:00, jioni katika makaburi ya Nyang’andu kivule frema kumi jijini Dar es Salaam. Sheikh Ulatule alikua gerezani kwa miaka 9...
  17. JamiiForums Tanzania Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Dhana ya "plea bargaining" itoe mwanga Marekani inaweza kufanya nini kuhusu waasi magaidi wa Syria

    Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa muhimu kwa ajili ya kufanikisha lengo kubwa zaidi kwa faida ya mshitakiwa kupungiziwa adhabu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mohammed Said

    https://youtu.be/ODb5a7s6j4s?t=5 Hazina kubwa kwa taifa
  20. JamiiForums Tanzania Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…