mohamed said

Ismail bin Mohamed Said (Jawi: اسماعيل بن محمد سعيد; born 7 September 1965) is a Malaysian politician and the Member of the Parliament of Malaysia for the Kuala Krau constituency in Pahang. He is a member of the United Malays National Organisation (UMNO) party in the governing Barisan Nasional coalition. He also former chairman of Perbadanan Tabung Pendidikan Tinggi Nasional.
Ismail was elected to Parliament in the 2004 election, winning the UMNO-held seat of Kuala Krau, and was re-elected in 2008 and 2013. Before entering Parliament, Ismail was an official in UMNO's youth wing and operated a law firm in Temerloh.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Mohamed Said ''Gaidi Mzungu wa Unga" 2007

    https://youtu.be/l8hm_snQlbE?si=LK88xQE7xF3g1C5n
  2. M

    Mohamed Said anahitaji tuzo

    Huyu mzee ameibadilisha kabisa historia ya Tanganyika na Tanzania ambao wengi hatukuijua. Kwa mfano wanawake 10 Bibi Titi Mohammed Mhamasishaji mkuu wa TANU (1955–1959). Mohammed Said anasisitiza kuwa mchango wake wa kweli ulifutwa makusudi baada ya kuanguka kisiasa. Bi. Asha Baraka...
  3. Mohamed Said

    Mohamed Said na Haji Manara Wamwadhimisha Mzee Mustafa Songambele (1925 - 2025)

    https://youtu.be/SpcfyUh1_Uc?si=lLkRMbYFSCzyoOWS
  4. Inside10

    Mohamed Said: Uislamu Ulivyounganisha Na Kujenga Umoja Wa Wananchi.

    UISLAM ULIVYOUNGANISHA NA KUJENGA UMOJA WA WANANCHI (DINI ILIVYOWAUNGANISHA WATANGANYIKA DHIDI YA UKOLONI: NAFASI YA DUA NDANI YA TANU VISOMO VYA QUR'AN NA DUA ZILIZOFANYIKA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA) Inategemea watu watakavyoitumia dini. Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu...
  5. Inside10

    Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. -------------------------- ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955? N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
  6. Mohamed Said

    Salim Kikeke na Mohamed Said Karume Day

    https://youtu.be/EYP1e2tToZc?si=ANvPuvwWhSjtQO_h
  7. Kitchener

    Wasafi wamkaribisha Mzee Mohamed said, amwaga sumu.

    Sina shida ya mzee wetu kukaribishwa, ila ni ile hali yake ya kuamini uhuru wa Tanganyika uliletwa na waislam kwa hiyo ndio wenye haki ya kutawala hapa nchini. kuna hoja moja kuhusu ugomvi wa Bibi Titi na Nyerere ameiongea, interest yangu ni kwenye Agakhan kujenga shule za waislam, kama yupo...
  8. Mohamed Said

    Mohamed Said: Al Fatah Sema Nasi

    https://youtu.be/0cACJY499yk?si=DMgOElEwBVKKPc2w
  9. M

    Kwanini historia anayosimulia Sheikh Mohammed Said haipingwi hadharani?

    Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio wanajadili. Pia soma...
  10. FaizaFoxy

    Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere

    Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati. Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu...
  11. Mohamed Said

    Maktaba ya Mohamed Said na Maswali ya Wasomaji

    Wana JF Jukwaa la Historia, Nimekuwa nikifanya majadiliano hapa sasa huu ni mwaka wa 11. Nimegundua kuwa kuna wafuatiliaji wengi wa mijadala hii yetu ambayo wanauliza maswali ambayo kwa hakika nishayajibu mara nyingi sana. Kwa nia ya kuondoa tatizo hili na kwa nia ya kusambaza elimu kwa wote...
  12. Gibbethon bible code

    Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt. Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati...
  13. mdukuzi

    Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu. Mohamed Said anajiita mwanahistoria lakini...
  14. Nelson Jacob Kagame

    Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

    Kuna watu hapa Afrika Mashariki wanabeza sana mapinduzi ya Zanzibar yaliyoongozwa na Mh Okello na kufanya miadhara kuyaponda! Wana ajenda gani nyuma ya pazia?
  15. Mohamed Said

    Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2023 na Mohamed Said, Radio One

    MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI Kichwa cha.habari kinajieleza. In Shaa Allah... Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’ Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
  16. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  17. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  18. Mohamed Said

    Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  19. Mohamed Said

    TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  20. Mohamed Said

    Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

Back
Top Bottom