JamiiForums Tanzania
Fununu😤
Kuna fununu nimezisikia eti, kuna miamba, wanawapa mimba wadada ikifikia miezi mitano wanashawishi itolewe, mdada akiogopa anafanya maarifa ya kuwa patia kombikit bila kujijua 🤔
Ikishatoka, kitu inazikwa halafu inafukuliwa na kuchimbwa mlangoni mwa biashara kwa masharti makali ya mganga...