mo dewji

  1. Hivi zile Bilioni 20 za Mo Dewji ziliwekwa Treasury Bonds/Bills? Je, zimetengeneza faida kiasi gani kwa Simba?

    Uwekezaji wa Mohammed Dewji maarufu Mo Dewji ndani ya Klabu ya Simba ni moja ya hatua kubwa zilizobadili mwelekeo wa uendeshaji wa soka la Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. Dhamira yake ya kuwekeza ndani ya klabu hiyo iliibuka rasmi Julai 29, 2016, alipoweka wazi nia ya kuinunua Simba kwa...
  2. KUMBUKIZI | Mo Dewji: Tatizo letu kubwa Tanzania ni Urasimu, lazima tupate viongozi wakufanya maamuzi

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  3. KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  4. Kwanini Mali za Bhakresa na Mo Dewji hazikuharibiwa Ile mo29

    Ziliharibiwa Mali za mafisadi tu, Mali za kampuni za watu waadilifunhazikuguswa kabisa. Bakhresa, tajiri namba 1 ana viwanda, magari, majumba na maduka mengi. Lakini utajiri wake haina makando kando Hakuna Mali yake iliguswa, Mo Dewji, ni tajiri anamiliki metl, utajiri wake hauna makando kando...
  5. Mo Dewji kutenga Bil. 25 kusaidia wabunifu wa AI na Fintech

    Bilionea Mohammed ‘Mo’ Dewji , ametangaza kuwa yuko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu wenye thamani ya TZS bilioni 25 ili kuchochea mageuzi ya kiteknolojia nchini Tanzania na barani Afrika. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X Jumatano hii, Dewji ameandika: “Niko mbioni kuzindua Mfuko wa...
  6. K

    Mo Dewji aongelea Haki

    By Time, Indeed, mankind is in loss, Except those who believe and do righteous deeds, and encourage one another to truth, and encourage one another to patience. — [Surah Al-‘Asr 103:1-3] // Naapa kwa zama (au muda), Hakika mwanadamu yumo katika hasara, Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi...
  7. Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga. Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa...
  8. Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

    Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
  9. Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
  10. Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  11. Post ya Mo Dewji mtandao wa X imepokelewa vibaya na Watanzania

    Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji Mo amepost habari hii akaandika caption hii "Injustice 😥" Sasa kwenye comments Watanzania wanamtupia...
  12. Mtoto wa Mo Dewji[AbbasMoDewji] umejifunza nini kuhusu huu ujumbe wa Baba yake ?

    Ujumbe wa Mo Dewji kwa mwanae Abassmodewji umejifunza nini katika ujumbe huu ? Meet my eldest son Abbas Mo Dewji @abbasmodewji, As a father, nothing humbles me more than seeing the next generation step up. What my forefathers instilled in me, I now pass on. 🦁 // Ninajivunia kijana wangu...
  13. M

    Familia ya Mo Dewji wamechanga Tsh. Milioni 150, GSM peke yake amechanga Tsh. Bilioni 10 halafu utegemee Simba awe bingwa

    Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
  14. Orodha ya Watu 10 Matajiri zaidi Tanzania, Mo Dewji aongoza kwa Tsh. Trilioni 5.5

    Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha hiyo, inaonyesha mabilionea hao wanatoka katika sekta mbalimbali zikiwemo viwanda, mawasiliano...
  15. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  16. Haya sasa wana Simba SC wenzangu bahati hii imekuja, tafadhali tuitumieni na tuachane rasmi sasa na Tajiri Mo Dewji ambaye anatupotezea tu muda

    Taarifa zilizonifikia ni kwamba Kampuni Tajiri ya DP WORLD inataka Kuidhamini Simba SC na kuichukua kwa 49% tu.
  17. Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
  18. Tetesi: Kumekucha: Simba mivurugano bado inaendelea

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  19. S

    E FM sio vizuri kumtumia Maestro kumshambulia Mo Dewji

    Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea vitu ndani ya Simba vinavyoendelea. Viongozi wa zamani wa Simba wanamtumia yeye kutumia redio...
  20. J

    Mo Dewji na Bakhresa acheni ubinafsi. Fanyeni kama Bill Gates

    Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…