Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake.
Sasa huku sio ndio kujimaliza...
PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA
Na Amon Nguma .
Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE .
Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu.
Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi.
Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii.
Yes...
Pesa si matumaini yao
Ni msukuma mkokoteni
Tena na jua kali kichwani
Pato lake sio ahueni
Pesa si matumaini yao
Ajabu mwajiriwa tajiri
Na mwajiri wake ni fakiri
Analipa, kipato swaghiri
Pesa si matumaini yao
Nao wakulima mashambani
Na wakulima wabaharini
Uhai wao uhatarini
Pesa si matumaini...
Nani aisikie sauti ya mnyonge? Sauti ya vijana maskini walio vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Vijana hawa wenye msongo wa mawazo juu ya kipi kitatokea baada ya masomo yao katika fani mbalimbali.
Vijana hawa maskini, waliobeba matumaini ya familia zao bado hawana uhakika wa maisha baada ya elimu...
Wakuu Salam,
Naomba nitangaze maslahi, mimi ni mfanyabiashara, nipo Kariakoo, nje ya Kariakoo na mkoa wa Pwani.
Malalamiko yetu wafanyabiashara mengi ni justifiable, lakini hili la kumlaumu Mwigulu Nchemba bila supporting evidence is ungrounded.
Kuna watu wanatumia udhaifu wa migogoro ya...
Rivers United wana advantage ya kisaikologia dhidi ya Yanga! Hiyo hutoa nguvu sana zisizo za kawaida kwenye mchuano wowote! "Wananchi" jiandaeni kisaikologia kuangukia pua!
Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili.
Maskini ataendelea kuwa maskini
Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga!
bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa nyumba tu taa zinawashwa usiku kwa nje ili jambazi au mhuni akina au akikatiza uweze kumuona na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.