mnazi mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    Dar: Maeneo ya wazi Mnazi Mmoja (Mnara wa Uhuru) hayafanyiwi usafi kwa wakati, yanageuka mazalia ya mbu

    Kero yangu ni kuhusu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Najiuliza, je, huwa hawatembei nchi nyingine kuona jinsi wenzetu wanavyotunza bustani zao zilizotengwa kwa ajili ya wananchi kupumzika baada ya kazi au shughuli nyingine za kila siku? Nimekuwa nikienda Kariakoo mara kwa mara, sasa...
  2. radhiya

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja. - It's 2nd plot on the corner from Bibi Titi road. Location: Aggrey/Jamhuri st. Plot size: SQFT 3010 (SQM 279.64) Price: TZS 2.5B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply...
  3. radhiya

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja. - It's 2nd plot on the corner from Bibi Titi road. Location: Aggrey/Jamhuri st. Plot size: SQFT 3010 (SQM 279.64) Price: TZS 2.5B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply...
  4. radhiya

    Plot4Sale Plot For Sale at Mnazi Mmoja

    Plot For Sale at Mnazi Mmoja. Location: Aggrey/Jamhuri st. Plot size: SQFT 3010 (SQM 279.64) Price: TZS 2.5B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will apply. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or 0627 605807...
  5. A

    KERO Walinzi wa viwanja vya Mnazi Mmoja wamekuwa kero

    Siku moja natoka kazini (4 June 2025) nikakutana na mpenzi wangu maeneo ya mnazi mmoja hospital, kutokana na kelele zilizokuwepo pale nje ikabidi tusogee uwanjani kwakuwa kuna mwanga na usalama zaidi. Kitendo cha kufika pale, walikuja vijana wawili ambao wamevaa kiraia, walifika kwa matusi na...
  6. Escrowseal1

    KERO Baadhi ya huduma za Hospitali Mnazi Mmoja Dar ni kero kwa wananchi

    Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini. Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda. 1. Huduma ya madaktari ni ya ovyo mno sometimes mnavuruga utaratibu mgonjwa amepanga foleni , pamoja na kujizungusha...
  7. Dr am 4 real PhD

    Jengo la TRA Mnazi Mmoja laungua moto

    Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu ============== Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo - Dar es salaam.
  8. F

    KERO Malamiko ya wagonjwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala

    Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam. Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo. Tusikilize baadhi ya wagonjwa akiwemo mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kwa ajili ya kupata huduma toka asubuhi ya saa...
  9. iamwangdamin

    Ilikuwa ni huzuni matukio ya kuaga miili Mnazi Mmoja, asanteni watanzania na viongozi wote . Poleni wafiwa .

    Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
  10. Bob Manson

    Nipo Magomeni na sioni mtu. Mko wapi tuanze safari kwenda mnazi mmoja?

    Nimefika hapa Magomeni, sioni watu wala kikundi cha watu, mkowapi ndugu zangu waandamanaji niungane nanyi?
  11. I

    Karikakoo Festival kufanyika August 24-31, 2024 viwanja vya Mnazi Mmoja, bidhaa kuuzwa bei ya punguzo

    Jumuiya ya wafanyabiashara Kariakoo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanatarajia kufanya tamasha walilolipa jina la 'Kariakoo Festival ' kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam. Akizungumzia tamasha hilo Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Karikakoo, Martin Mbwana amesema...
  12. J

    Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  13. TODAYS

    Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo. Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa...
  14. The Burning Spear

    Kwanini stand ya Mnazi Mmoja haina sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria usafiri?

    Naziuliza mamlaka za jiji la Dar es Salaam. Inakuwaje pale stand ya Mnazi Mmoja hapajajengwa vibanda kwa ajili ya kujikinga na mvua au jua. Naongelea hasa huku kwenye daladala za Kinyerezi, Segerea. Mburahati na vibajaji vinavyo enda city centre. Vibanda hivi Husaidia pia mtu kupumzila pale...
  15. Mohamed Said

    Bibi Titi na Historia ya Mnazi Mmoja 1950s

    BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union. Walikusanyika hapo wakitokea kwenye ofisi ya chama chao iliyokuwa katikati ya uwanja wa wazi nyuma ya...
  16. BigTall

    Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  17. Suley2019

    DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  18. QasraNet

    Bustani ya Mnazi Mmoja ina kazi gani?

    HEBU TUZUNGUMZE HILI, ILE BUSTANI YA MNAZI MMOJA (Kwenye Mnara wa Uhuru) Pale Dar es salaam hususan City Centre i.e Kariakoo, Mnazi Moja. Kwa haraka haraka hakuna sehemu mfano wa Garden ya watu walau kuweza kupumzika from mihangaiko na mizunguko ya mjini. Hakuna pia open space ambayo mtu...
  19. Librarian 105

    Kinachoendelea Mnazi Mmoja ni superb

    Wafanyabiashara wa kariakoo (wananchi) wanavyofunguka kueleza kero zao kwa waziri mkuu ni kuwachana watendaji wa wizara ya fedha kinaridhisha. Mambo mengine tulizoea kusikia kwa wapinzani ndani ya bunge kubainisha mambo ya ndani yanayorudisha nyuma shughuli za wananchi kimaendeleo. Ila...
  20. HIMARS

    Mgomo Kariakoo: Wafanyabiashara wakutana Mnazi Mmoja

    Baada ya kutangaza kugoma kufungua maduka yao wiki iliyopita, hatimaye Kariakoo ikasimama. Mkuu wa Mkoa akaenda, akashindwa wafanyabiashara wakamtaka Rais, Ripoti ikatoka kutoka Dodoma kuwa Mkutano utafanyika Dodoma siku ya Alhamis, chini ya Waziri Mkuu, wafanyabiashara wakagoma. Likatoka...
Back
Top Bottom